-
Iran yaanza kutengeneza satelaiti yake 'ya kisasa zaidi'
Aug 18, 2023 08:47Shirika la Anga za Juu la Iran (ISA) limetangaza kuzindua mchakato wa uzalishaji wa "Pars-3," satelaiti "ya kisasa zaidi na yenye usahihi wa juu sahihi"
-
Raisi na Putin wasisitiza kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili na kimataifa
Aug 18, 2023 01:07Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamefanya mazungumzo ya simu na kubadilishana mawazo kuhusu masuala ya kieneo na kimataifa.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Kazi za jeshi la SEPAH ni za kujivunia
Aug 17, 2023 10:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran amesema kuwa, kuasisiwa, kukuwa, kustawi na kuwa imara katika kupambana na migogoro sambamba na kazi nyingine za Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH katika upande wa kijeshi, kutumikia wananchi, kutoa huduma na kazi za ujenzi wa taifa, kumelifanya jeshi hilo kuwa la kipekee na la kujivunia.
-
Maafisa wa kijeshi wa Iran, Saudia wajadiliana kuhusu ushirikiano
Aug 17, 2023 07:38Maafisa wa kijeshi wa Iran na Saudi Arabia wamekutana kwa mara ya kwanza tangu mapatano yaliyofikiwa mwezi Machi baina ya pande mbili mwezi Machi mwaka huu wa 2023 kwa upatanishi wa China.
-
Baraza la Usalama lalaani shambulio la kigaidi la Shah Cheragh
Aug 17, 2023 03:44Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa taarifa inayolaani shambulio la hivi karibuni la kigaidi katika Haram ya Shah Cheragh katika mji wa Shiraz.
-
Ibrahim Raisi: Kuachiliwa mali za Iran ni dhihirisho la mafanikio ya diplomasia yenye heshima
Aug 17, 2023 00:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kuachiliwa fedha za taifa hili zilizokuwa zikishikiliwa nje ya nchi ni dhihirisho la mafanikio ya diplomasia yenye heshima.
-
UN yataka utawala wa Taliban Afghanistan uheshimu sheria za kimataifa
Aug 16, 2023 09:02Ikiwa Agosti 15 2023 ni miaka miwili tangu kundi la Taliban lilipotwaa mamlaka nchini Afghanistan, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Türk amewakumbusha wakuu wa Taliban kwamba Afghanistan, kama Taifa, lina wajibu chini ya sheria za kimataifa kuheshimu, kudumisha na kukuza haki za watu wote bila ubaguzi.
-
Maziko makubwa ya mashahidi wa shambulio la kigaidi la Shah Cheragh
Aug 16, 2023 08:48Makumi ya maelfu ya Wairani wamewaaga wahanga wa shambulio la kigaidi la Jumapili kwenye Haram Takatifu ya Hadhrat Ahmad bin Musa (AS) maarufu kama Shah Cheragh mjini Shiraz kusini mwa Iran.
-
Amir-Abdollahian: Vikwazo dhidi ya Iran si kwa manufaa ya nchi za Ulaya
Aug 16, 2023 02:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki umekuwa ukisisitiza mara kwa mara kwamba, Jamhuri ya Kiislamu imekuwa ikitoa ushirikiano unaotakiwa na wakala huo na kwamba shughuli za nyuklia za Iran hazijakengeuka malengo yake ya amani akiongeza kuwa, kuendelea vikwazo dhidi ya Iran si kwa manufaa ya nchi za Ulaya.
-
OIC yaishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa juhudi zake za kutatua mgogoro wa Afghanistan
Aug 15, 2023 23:20Naibu Katibu Mkuu na Mjumbe Maalumu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu nchini Afghanistan ameonana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian na kumkabidhi ujumbe wa maandishi wa Katibu Mkuu wa OIC wa kuishukuru Jamhuri ya Kiislamu kwa juhudi zake kubwa za kuutatua mgogoro wa Afghanistan, na kuwapa hifadhi maelfu ya wakimbizi wa Afghanistan.