-
Hujuma ya kigaidi; kukaririwa mbinu iliyofeli ya adui
Aug 15, 2023 08:46Takriban miezi 10 baada ya shambulio la kigaidi la mwaka jana kwenye Haram Takatifu ya Hadhrat Ahmad bin Musa (AS) maarufu kama Shah Cheragh mjini Shiraz kusini mwa Iran, magaidi walishambulia tena eneo hilo takatifu siku ya Jumapili, na matokeo yake yakawa ni kuuawa shahid waumini wawili na wengine wanane kujeruhiwa.
-
Idara ya Mahakama yawalaumu walionyamazia kimya shambulio la kigaidi la Shah Cheragh
Aug 15, 2023 07:15Msemaji wa Idara ya Mahakama ya Iran ameyalaumu madola na mashirika yanayodai kutetea haki za binadamu kwa kunyamazia kimya shambulio la kigaidi katika Haram ya Shah Cheragh ya kusini mwa Iran.
-
Raisi: US, nchi za Ulaya zilipanga ghasia za mwaka jana Iran
Aug 15, 2023 04:26Rais wa Iran ameikosoa Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya kwa kuratibu machafuko yaliyoshuhudiwa mwaka jana hapa nchini Iran kwa kisingizo cha kifo cha Mahsa Amini.
-
Kan'ani: Kuwashambulia mazuwari wasio na hatia ni kitendo cha jinai
Aug 14, 2023 10:27Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Kuwashambulia mazuwari wasio na hatia katika haram ya Ahlul Bayt ni kitendo cha kijinai.
-
Iran yakosoa kimya cha wanaodai kutetea haki za binadamu kufuatia hujuma ya kigaidi Shah Cheragh
Aug 14, 2023 04:23Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kimya cha jamii ya kimataifa na nchi zinazodai kutetea haki za binadamu baada ya hujuma za kigaidi nchini Iran ni jambo ambalo linahimiza ugaidi.
-
Rais wa Iran aagiza uchunguzi wa haraka ufanyike kuhusu shambulio la kigaidi la Shah Cheragh
Aug 14, 2023 01:17Rais wa Iran Ebrahim Raisi amewaagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Ahmad Vahidi na Gavana wa Mkoa wa Fars Mohammad Hadi Imaniyeh wawatambue haraka na kuwaadhibu wahusika wa shambulio la kigaidi huko Shah Cheragh mjini Shiraz.
-
Kan'ani ayakosoa mataifa yanayounga mkono ugaidi ili kuvuruga usalama nchini Syria
Aug 13, 2023 09:49Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la genge la kigaidi la Daesh dhidi ya jeshi la Syria katika mkoa wa Deir ez-Zur wa mashariki mwa nchi hiyo na kukosoa vikali mataifa yanayounga mkono ugaidi.
-
Amir-Abdollahian: Jitihada za kuhakikisha Iran inapata haki zake zote zinaendelea
Aug 12, 2023 09:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, sambamba na kuendelea jitihada za kufelisha vikwazo vya kidhalimu vya madola ya Magharibi, juhudi za kidiplomasia ya kuhakikisha wananchi wa Iran wanapata haki zao zote, bado zinaendelea.
-
Iran iimethibitisha kivitendo mapenzi yake ya kidugu kwa majirani na Waislamu wenzake
Aug 12, 2023 09:25Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao cha Jumuiya ya Urafiki baina ya Iran na Kuwait kwamba, Tehran imethibitisha kivitendo mapenzi yake ya kidugu kwa majirani na Waislamu wenzake kwenye migogoro na hali ngumu zinazotokea.
-
Mapatano madhubuti ya Iran kuhusu kuachiliwa mali zake na kubadilishana wafungwa na Marekani
Aug 12, 2023 04:46Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kuhusu kuachiwa mali za Iran na pia kufunguliwa wafungwa wake kadhaa waliokuwa wamezuiliwa na Marekani kinyume cha sheria.