-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Utambulisho wa Mapinduzi ya Kiislamu unatokana na madrasa ya 'Ashura
Aug 11, 2023 08:32Khatibu wa Salama ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, madrasa ya 'Ashura ndiyo iliyoyapa utambulisho Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran na madrasa hiyo ni muhimu mno kiasi kwamba leo hii imeikomboa Syria kutoka kwenye makucha ya Marekani.
-
Iran na Afrika Kusini katika mkondo wa kuhuisha kikamilifu mahusiano
Aug 11, 2023 07:34Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wiki hii aliekea Pretoria Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 15 wa Kamisheni ya Pamoja ya Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika Kusini na kukutana na viongozi mbalimbali wa taifa hilo.
-
Tehran: Marekani itaachia fedha zinazoshikiliwa za Iran katika mchakato wa kubadilishana wafungwa
Aug 10, 2023 23:33Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kuhusiana na kuachiliwa rasilimali za Iran zinazoshikiliwa nje ya nchi, na vilevile kuachiwa huru idadi kadhaa ya wafungwa waliokuwa wakizuiliwa kinyume cha sheria nchini Marekani.
-
Abdollahian: Iran na Afrika Kusini zina fursa nyingi za kupanua ushirikiano
Aug 10, 2023 10:27Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema, licha ya vikwazo vya upande mmoja na haramu vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika fremu ya sheria za kimataifa, daima kuna fursa mbalimbali kwa Iran na Afrika Kusini za kupanua uhusiano.
-
Uwezo wa nguvu na amani ya Iran ilivyopatikana kwa ujasiri na ushujaa wa Walinzi wa Haram
Aug 10, 2023 06:03Rais Ebrahim Raisi ameashiria kuainishwa katika kalenda rasmi ya Iran tarehe 18 Mordad, inayosadifiana na Agosti 9, kuwa Siku ya Mashahidi Walinzi wa Haram na akaienzi kumbukumbu ya Mashahidi hao kwa kusema: Mashahidi Walinzi wa Haram ni walinzi wa heshima na utakatifu wa Uislamu, ambao walitetea thamani za dini kwa roho zao na kufa shahidi katika njia hiyo.
-
Ubalozi wa Saudia mjini Tehran waanza kazi tena, miezi mitano baada ya kufikiwa makubaliano ya pande mbili
Aug 10, 2023 04:24Ubalozi wa Saudia mjini Tehran umefunguliwa tena rasmi kufuatia hatua ya Iran kufungua tena ubalozi wake mjini Riyadh mwezi Juni uliopita.
-
Iran yabuni teknolojia ya kutengeneza makombora ya supersonic
Aug 10, 2023 04:14Wataalamu wa kijeshi na wahandisi katika Wizara ya Ulinzi ya Iran wameripotiwa kubuni teknolojia ya kutengeneza ndani ya nchi kombora la kisasa la cruise kenye uwezo wa kusafiri kwa mwendo kasi wa supersonic.
-
Raisi: Marekani na Israel zinakula njama za kuvuruga usalama wa eneo
Aug 09, 2023 08:43Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikosi vya ulinzi na usalama vya Jamhuri ya Kiislamu si tu vinalinda usalama wa taifa hili, bali pia usalama na uthabiti wa nchi nyingine za eneo la Asia Magharibi.
-
Kulinda matukufu ya pamoja, malengo ya kikao cha Umoja wa Kiislamu cha Orumiyeh, Iran
Aug 09, 2023 04:15Katibu Mkuu wa Baraza la Kimataifa la Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, kikao cha tatu cha kieneo cha umoja na mshikamano baina ya Waislamu kilichoanza leo asubuhi huko Urumiyeh, makao makuu ya mkoa wa Azerbaijan Magharibi wa Iran, kimeitishwa kwa lengo la kulinda matukufu ya pamoja ya Waislamu.
-
Islami: Iran iko tayari kuuza bidhaa zinazotokana na maji mazito ya nyuklia
Aug 08, 2023 23:55Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran ametangaza utayarifu wa kuuza nje bidhaa zinazotokana na maji mazito za Iran.