-
Raisi: Waandishi wa habari ni daraja kati ya wananchi na viongozi
Aug 08, 2023 11:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema waandishi wa habari ni daraja kati ya wananchi na wasimamizi wao na kuongeza kuwa: Waandishi wa habari wanaowakilisha vyombo vya habari, wanapaswa kujenga matumaini katika nyoyo za watu.
-
Mehdi Safari: Iran inaweza kuimarisha uhusiano wake na BRICS licha ya vikwazo
Aug 08, 2023 11:41Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya uchumi amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu inaweza kuanzisha uhusiano na kundi la BRICS linaloundwa na nchi zinazoibukia kiuchumi, licha ya kukabiliwa na vikwazo haramu vya Marekani.
-
IRGC: Iran itatoa jibu la aina yake kwa hatua yoyote ghalati ya Marekani katika eneo
Aug 08, 2023 04:16Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) ameitahadharisha Marekani dhidi ya kuchukua hatua yoyote ghalati na ya uharibifu katika eneo la Asia Magharibi, ikiwemo kutwaa meli zinazopita katika maji ya eneo hili.
-
Ubalozi wa Iran wakosoa msimamo wa Denmark kuhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Aug 08, 2023 01:12TEHRAN (IQNA) – Ubalozi wa Iran nchini Denmark umelaani vikali vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu ndani ya taifa hilo la Nordic.
-
Iran yakosoa tuhuma zisizo na maana za Uingereza dhidi ya IRGC
Aug 07, 2023 23:39Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali madai yasiyo na msingi ya Uingereza dhidi Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC).
-
Iran: Chokochoko za NATO ni miongoni mwa sababu kuu za vita vya Ukraine
Aug 07, 2023 09:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amegusia juhudi za Tehran kuelekea suluhisho la kisiasa la mgogoro wa Ukraine na kusisitiza kuwa muungano wa kijeshi wa NATO unaoongozwa na Marekani na chokochoko ulizofanya ni miongoni mwa sababu zilizopelekea kuzuka mgogoro huo.
-
Balozi wa Iran: Kipaumbele chetu ni kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na Saudi Arabia
Aug 07, 2023 03:24Alireza Enayati, Balozi wa Iran aliyeteuliwa kuiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu nchini Saudi Arabia amesema kuwa, kustawisha ushirikiano wa kiuchumi wa pande mbili ndilo jambo linatakalopewa kipaumbele kikubwa wakati akitekeleza majukumu yake nchini Saudia.
-
Kan'ani: Wazayuni na waungaji mkono wao wawajibishwe kwa kuwauwa watoto wa Kipalestina
Aug 06, 2023 23:28Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiriai takwimu zilizochapishwa kwamba watoto 37 wa Kipalestina waliuawa shahidi mwaka 2023 katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Ukanda wa Ghaza, na kusisitiza kuwajibika wa utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wake.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu aliambia Jeshi la Majini: Kazi yenu ni fahari kubwa kwa taifa
Aug 06, 2023 08:43Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameitaja kazi yenye mafanikio na fahari iliyofanywa na Kundi la 86 la Wanamaji wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kuzunguka dunia nzima kuwa ni matokeo ya kazi ngumu, nia thabiti, kujiamini, uwezo wa kubuni, maarifa ya hali ya juu ya kijeshi, uongozi bora na "ujasiri na kusimama imara mkabala wa mashaka ya aina mbalimbali."
-
"Serikali za Kiislamu ziyawekee vikwazo mataifa yanayoidhalilisha Qur'ani"
Aug 06, 2023 03:58Mkuu wa Kamati ya Haki za Binadamu katika Majlsi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ametoa mwito kwa madola ya Kiislamu kuziwekea vikwazo nchi zinazounga mkono vitendo vya kuvunjia heshima Kitabu Kitakafu cha Qur'ani.