-
"Hakuna mfungamano baina ya Marekani na usalama wa Ghuba ya Uajemi"
Aug 06, 2023 03:52Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Iran amesema usalama wa eneo la Ghuba ya Uajemi, Bahari ya Oman na Bahari Hindi hauna mfungamano wowote na Marekani.
-
Kudumishwa ustawi katika sekta ya ulinzi ya Iran
Aug 05, 2023 22:57Mifumo na zana mpya za kistratijia za Jeshi la Wanamaji la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC katika nyanya za makombora, ndege zisizo na rubani na vita vya kielektroniki zimezinduliwa.
-
Jeshi la Iran lapata mifumo mipya ya ndege zisizo na rubani na makombora
Aug 05, 2023 04:48Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limezindua mifumo na zana mpya za kistratijia katika sekta za makombora, ndege zisizo na rubani na vita vya kielektroniki.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Wanaochoma moto Qur'ani kwa hakika wanajichoma moto wao wenyewe
Aug 04, 2023 08:41Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran ameeleza kuwa, wale wanaochoma moto nakala za Qur’ani Tukufu kwa hakika wanajichoma moto wao wenyewe na kusema: Si jambo rahisi kwa kila mtu kujua hakika ya Qur’ani ambayo ni roho na rehema ya Mwenyezi Mungu, na kufanya ukaidi dhidi ya neno la Mungu ni ishara ya roho ya kishetani.
-
Umuhimu wa Mazoezi ya Jeshi la Majini la SEPAH katika visiwa vitatu vya Iran
Aug 04, 2023 08:37Mazoezi ya Kijeshi ya kuonesha nguvu za kiulinzi za Kikosi cha Majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) yalifanyika Jumatano wiki hii kwa kushirikiana na Kikosi cha Anga cha jeshi hilo katika visiwa vitatu vya Iran vya Bu Musa, Tomb Kubwa na Tomb Ndogo vya kusini mwa Iran.
-
Iran yataka kusitishwa mapigano katika kambi ya wakimbizi wa Kipalestina Lebanon
Aug 04, 2023 04:27Msemaji wa Wiziara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inatoa mwito wa kukomeshwa mapigano katika kambi ya wakimbizi wa Kipalestina ya Ain Al-Hilweh nchini Lebanon.
-
Ayatullah Noori-Hamedani: Mataifa ya Kiislamu yachukue hatua nzito dhidi ya kuvunjiwa heshima Qur'ani
Aug 02, 2023 23:34Ayatullah Hussein Noori Hamedani ambaye ni miongoni mwa viongozi wakuu wa kidini katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran amesema, mataifa ya Kiislamu yanapaswa kuchukua hatua nzito dhidi ya vitendo vya kuvunjiwa heshima kitabu kitakafu cha Qur'ani.
-
Ubalozi wa Iran Uhispania: Kuendelea kudhalilishwa Qur'ani Tukufu ni jinai ya kiutamaduni
Aug 02, 2023 07:39Ubalozi wa Iran nchini Uhispania umelaani kitendo cha Qur'ani Tukufu kuendelea kuvunjiwa heshima na kukitaja kuwa jinai ya kiutamaduni ambapo pia umekosoa misimamo dhaifu ya Umoja wa Ulaya kuhusiana na suala hilo.
-
Kamanda Mkuu wa IRGC: Iran itatoa jibu la kujutisha kwa vitisho vya maadui
Aug 02, 2023 04:34Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema, vikosi vya ulinzi vya Iran vitatoa jibu la kujutisha kwa vitisho vyovyote na hatua zozote zitakazochukuliwa na maadui.
-
Viongozi wa Iran na Oman watilia mkazo kupanuliwa mashirikiano baina ya nchi mbili
Aug 01, 2023 10:06Viongozi wa Iran na Oman wamesisitiza na kutilia mkazo nia ziliyonayo Tehran na Muscat ya kuinua kwa kiwango na upeo wa juu zaidi uhusiano wa nchi mbili na kupanua zaidi maelewano baina ya pande mbili.