-
Viongozi wa Iran na Oman watilia mkazo kupanuliwa mashirikiano baina ya nchi mbili
Aug 01, 2023 10:06Viongozi wa Iran na Oman wamesisitiza na kutilia mkazo nia ziliyonayo Tehran na Muscat ya kuinua kwa kiwango na upeo wa juu zaidi uhusiano wa nchi mbili na kupanua zaidi maelewano baina ya pande mbili.
-
Iran: Tukabiliane na vitendo vya kuvunjiwa heshima matukufu ya dini zote za mbinguni
Aug 01, 2023 04:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hossein Amir Abdollahian amewasilisha mapendekezo ya Iran kwa ajili ya ya kukabiliana na vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya.
-
Ubalozi wa Iran nchini Sweden walaani uovu mpya wa kuchomwa moto nakana ya Qur'ani nchini humo
Aug 01, 2023 04:50Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Sweden umelaani kitendo cha kuvunjiwa tena heshima kitabu kitakatifu cha Qur'ani nchini Sweden na kutangaza kuwa: Kwa mara nyingine tena, leo Waislamu bilioni mbili na watu wote huru duniani wameshuhudia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu kwa masikitiko makubwa.
-
Wanafiki wa MKO kufikishwa katika Mahakama ya Jinai ya Tehran
Aug 01, 2023 01:04Mahakama Kuu ya Jinai ya Mkoa wa Tehran inatazamiwa kuanza kusikiliza kesi za wanachama watoro zaidi ya 100 wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) ambalo limefanya mauaji ya makumi ya maelfu ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Abdollahian: Uwepo wa vikosi vya kigeni katika ardhi ya Syria si ufumbuzi
Jul 31, 2023 10:13Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwepo wa vikosi vya kigeni katika ardhi ya Syria hakusaidii katu amani na uthabiti wa nchi hiyo wala wa eneo la Asia Magharibi.
-
Makamanda wa majeshi ya majini ya Afrika Kusini na Venezuela wasisitiza kuimarisha uhusiano na Iran
Jul 31, 2023 07:36Makamanda wa vikosi vya wanamaji vya majeshi ya Afrika Kusini na Venezuela wamesisitiza udharura wa kuimarishwa uhusiano wa kiulinzi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kikao chao na Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu.
-
Viongozi wa Iran watoa mkono pole na kulaani vikali mripuko wa jana Jumapili wa nchini Pakistan
Jul 31, 2023 03:26Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wametoa mkono wa pole kwa wananchi na serikali ya Pakistan baada ya kutokea mripuko wa kigaidi kaskazini magharibi mwa Pakistan na kuua makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.
-
Lango la Qur'ani kujengwa jijini Tehran
Jul 30, 2023 08:21Mwenyekiti wa Baraza la Kiislamu la Jiji la Tehran amesema 'Lango la Qur'ani' litajengwa katika mji mkuu huu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mahakama ya Iran kuwashtaki magaidi 100 wa MKO
Jul 29, 2023 06:45Mahakama kuu ya jinai ya Iran inatazamiwa kuwapandisha kizimbani wanachama zaidi ya 100 wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) ambalo limefanya mauaji ya makumi ya maelfu ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Domino ya kuboresha uhusiano kati ya nchi za Kiarabu - Kiislamu na Iran
Jul 28, 2023 12:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Libya, Bi Najla Mangoush ameelezea kufurahishwa kwake na safari yake mjini Tehran, baada ya takriban miaka 17 tangu ziara ya mwisho iliyofanywa na afisa wa ngazi za juu wa Libya nchini Iran na kusema: Safari hii inaonyesha nia ya nchi mbili kupanua zaidi uhusiano wao.