-
Hujjatul Islam Akbari: Walioivunjia heshima Qur'ani walitaka kuibua vita vya kidini
Jul 28, 2023 09:19Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran ameashiria vitendo viovu vya kuchomwa moto Qur'ani Tukufu nchini Sweden na Denmark na kusema kuwa, waliokusudia kuibua vita baina ya wafuasi wa dini tofauti kwa kukivunjiwa heshima Kitabu hicho kitukufu wamefeli na kushindwa kufikia malengo yao.
-
Iran: Israel ikomeshe ukaliaji ardhi za Wapalestina kwa mabavu
Jul 28, 2023 08:40Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina na kusisitiza kuwa, mgogoro wa Palestina unaweza kupatiwa ufumbuzi tu kupitia kuhitimishwa ukaliaji wa mabavu wa ardhi za Wapalestina unaofanywa na Wazayuni maghasibu.
-
Kumbukumbu za Tasua ya Imam Husain AS zafanyika kona zote za Iran
Jul 27, 2023 23:30Jana Alkhamisi ilisadifiana na mwezi Tisa Mfunguo Nne, Muharram, siku ya maombolezo ya Tasua ya Imam Husain AS na mashahidi wengine wa mapambano ya Karbala ya mwaka 61 Hijria.
-
Maombolezo ya Ashura ya Imamu Hussein AS yaanza kote nchini Iran
Jul 28, 2023 04:16Maombolezo ya Ashura ya Bwana wa Mashahidi, Imamu Hussein AS yameanza kote nchini katika Iran ya Kiislamu.
-
Ebrahim Raisi: Mfumo mpya wa utawala duniani unaundika hivi sasa kwa baraka ya damu za mashahidi
Jul 27, 2023 08:41Rais Ebrahim Raisi amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni muendelezo wa Mapinduzi ya Imam Husain AS na kusisitiza kwamba, leo hii mfumo mpya wa kiutawala umo katika kujiunda duniani kwa baraka za damu toharifu za mashahidi wa dini tukufu ya Kiislamu.
-
Iran yatoa wito kwa Denmark kuzuia kurudiwa kwa vitendo vya kuvunjia heshima Qur'ani
Jul 27, 2023 04:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameitaka Denmark kuchukua hatua madhubuti za kuwaadhibu wale waliohusika na vitendo vya hivi karibuni vya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu nchini humo na kuzuia kurudiwa kwa hatua hizo.
-
Iran katika maombolezo ya siku ya Tasua
Jul 27, 2023 01:16Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo ya Tasua.
-
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa: Mfumo wa ubeberu unatekeleza aina nyingine ya ubaguzi wa rangi
Jul 26, 2023 23:00Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza pambizoni mwa mkutano wa BRICS katika mazungumzi yakke na na Waziri katika Ofisi ya Rais wa Afrika Kusini kwamba: Mfumo wa ubeberu sasa unatekeleza aina nyingine ya ubaguzi wa rangi.
-
Iran yaishukuru OIC kwa kukubali kuitisha kikao cha kutetea Qur'ani Tukufu
Jul 26, 2023 06:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa shukrani kwa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa kukubali kuitisha kikao cha dharura cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa jumuiya hiyo kuhusu vitendo viovu vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Sweden na Denmark.
-
Iran yapanda hadi nafasi ya 8 ya uzalishaji wa chuma duniani
Jul 26, 2023 06:32Jumuiya ya Madini Duniani imetangaza kwamba Iran imepanda ngazi hadi nafasi ya 8 katika uzalishaji wa chuma duniani.