-
Kutiwa nguvuni wanachama wa mtandao mkubwa zaidi wa kigaidi wenye mfungamano na utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Iran
Jul 26, 2023 04:37Wizara ya Usalama wa Taifa ya Iran imetangaza kuwa imewatia mbaroni wanachama wa mtandao mkubwa zaidi wa kigaidi wenye mfungamano na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mikoa kadhaa nchini.
-
Kan'ani: Utawala wa Kizayuni wa Israel unakaribia kuzimu
Jul 26, 2023 02:42Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ametuma salamu za rambirambi kwa familia za mashahidi waliouawa na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel huko Nablus, Palestina inayokaliwa kwa mabavu, na kusema: Utawala bandia na wa kigaidi wa Israel unakaribia kuangamia na kutoweka.
-
Iran: Mkono wa Israel unaonekana kwenye vitendo vya kuivunjia heshima Qur'ani
Jul 25, 2023 23:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya Magharibi za Sweden na Denmark na kusema kuwa, alama za vidole za utawala haramu wa Israel zinaonekana wazi kwenye vitendo hivyo viovu.
-
BRICS, hatua inayofuata ya Iran kujiunga na jumuiya za kieneo
Jul 25, 2023 23:11Mkutano wa marafiki wa Jumuiya ya BRICS ulianza Julai 24 huko Johannesburg, Afrika Kusini, na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ikiwa moja ya nchi zilizoomba uanachama katika jumuiya hiyo, ni mmoja wa wageni muhimu wa mkutano huo.
-
Iran na Libya zatangaza azma ya kuimarisha uhusiano
Jul 25, 2023 11:49Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Libya wamesisitiza azma ya viongozi wa nchi mbili ya kupanua uhusiano wa pande mbili.
-
Adimeri Kaviani: Vyombo vya majini vya Jeshi vitabeba Kombora la Abu Mahdi
Jul 25, 2023 04:17Naibu Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: maslahi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yatalindwa katika eneo la kaskazini la Bahari ya Hindi na maji huru ya kimataifa baada ya vyombo vya jeshi kusheheniwa kwa kombora la Abu Mahdi.
-
Rais Raisi: Uingiliaji wa maajinabi unayafanya mambo yazidi kuwa tata tu
Jul 25, 2023 00:47Rais Ebrahim Raisi amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono mazungumzo ya kuleta amani kati ya Armenia na Jamhuri ya Azerbaijan na kusisitiza kuwa, uingiliaji wa wageni unayafanya mambo yawe tata tu zaidi.
-
Juhudi za Iran na Serbia za kupanua ushirikiano wa kiuchumi baina yao
Jul 24, 2023 22:52Rais wa Jamhuri ya Iran amesema katika mazungumzo yake na Spika wa Bunge la Serbia kwamba, uhusiano wa nchi hizo mbili hususan katika nyanja za kiuchumi na kibiashara unahitaji kuboreshwa na kustawishwa zaidi.
-
Afisa mwandamizi wa usalama wa Iran ahudhuria mkutano wa BRICS Afrika Kusini
Jul 24, 2023 08:02Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Iran yuko nchini Afrika Kusini kushiriki mkutano wa ngazi ya juu wa usalama wa nchi kundi la BRICS.
-
Raisi: Kutoa ruhusa ya kuchoma moto Qur'ani ni ishara ya ujinga mamboleo
Jul 24, 2023 07:38Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kutoa leseni ya kuidhalilisha na kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu ni kinyume na madai ya uhuru wa kusema na ni kielelezo cha "ujinga mamboleo".