-
Iran haitamtuma balozi mpya Uswidi kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini humo
Jul 02, 2023 04:15Duru katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran zinadokeza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeamua kutomtuma balozi mpya nchini Sweden kutokana na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi hiyo ya Scandinavia.
-
Iran: Serikali ya Sweden lazima iombe radhi rasmi kwa kuvuka mistari myekundu ya Waislamu
Jul 02, 2023 00:59Mkuu wa Taasisi ya Utamaduni na Mawasiliano ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, serikali ya Sweden lazima iombe radhi rasmi kwa kuvuka mistari myekundu ya Waislamu.
-
Iran ni ya 10 duniani katika uzalishaji wa aina mbali mbali za dawa
Jul 02, 2023 00:50Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano ya Kimataifa katika Bustani ya Teknolojia ya Pardis amesema Iran imeorodheshwa kama moja ya nchi 10 bora duniani katika uzalishaji wa dawa za aina mbali mbali.
-
"Ni wajibu kwa kila Muislamu kupinga vitendo vya Wamagharibi kuidhalilisha Qurani"
Jul 01, 2023 07:57Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mataifa ya Waislamu yana wajibu na jukumu la kulaani na kupinga vitendo vya nchi za Magharibi vya kuvunja heshima matukufu ya Kiislamu, hususan Qurani Tukufu.
-
Iran yaitisha mkutano wa dharura wa OIC baada ya Qur'ani kuvunjiwa heshima nchini Sweden
Jul 01, 2023 04:14Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran ametoa pendekezo la kuitishwa kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) mapema iwezekanavyo ili kukabiliana na kitendo kiovu cha kuvunjiwa heshima Quran Tukufu nchini Sweden.
-
Spika wa Bunge la Iran: Waislamu duniani watajibu kitendo cha kuvunjiwa hesima Qur'ani nchini Sweden
Jul 01, 2023 01:20Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema: Waislamu duniani wanapaswa kufuata misimamo ya viongozi wakuu wa dini na mipaka ya sheria tukufu za Kiislamu, kujibu ipasavyo matusi ya kuchukiza na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Raisi: Jamii ya Kiislamu haitavumilia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Jun 30, 2023 11:08Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Kuivunjia heshima Qur'ani ni kuvunjia heshima na kudunisha ubinadamu na thamani za Kiislamu, na jamii ya Kiislamu haitavumilia suala hilo.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani na Wazayuni wanachocha vitendo vya kuchomwa moto Qur'ani
Jun 30, 2023 11:03Khatiibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjiini Tehran amesema kuwa: "Kuvunjiwa heshima Qur'ani kunafanywa kwa uchochezi wa Wazayuni na lobi zao."
-
Abdollahian akosoa hatua ya Sweden ya kuunga mkono kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Jun 30, 2023 03:55Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali hatua ya Sweden ya kuunga mkono vitendo vya kuvunjiwa heshima matukufu ya dini ikiwemo Qur'ani Tukufu.
-
Iran yayaasa mataifa ya Waislamu kuungana kuzima njama za maadui
Jun 29, 2023 23:55Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran ametoa mwito kwa mataifa ya Kiislamu kuwa na umoja na mshikamano mkabala wa njama za maadui na lobi za Kizayuni, zenye azma ya kuibua mifarakano na ukosefu wa uthabiti katika nchi hizo.