-
Ayatullah Khatami: Hatima ya maadui wa Iran si nyingine ghairi ya kushindwa
Jun 29, 2023 07:58Imamu wa Swala ya Eidul-Adh'ha iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, hatima ya maadui na upinzani dhidi ya Iran si nyingine bali ni kushindwa na kufeli katika mipango yao.
-
Vikwazo ni sawa na silaha ya kivita
Jun 29, 2023 03:54Katibu wa Kamati ya Haki za Binadamu ya Idara ya Mahakama ya Iran amesema kuwa, vikwazo ni jinai kubwa dhidi ya binadamu na kwamba Marekani ndiye mtendaji mkuu wa jinai hiyo kutokana na uraibu wake wa kuziwekea vikwazo nchi nyingine bila ya sababu ya maana.
-
Iran yalaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Sweden wakati wa Idul Adh'ha
Jun 29, 2023 02:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani jinai ya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Sweden na kusema kuwa, kinachotarajiwa kwa serikali ya nchi hiyo ni kuzuia jinai kama hizo na kwamba serikali ya nchi hiyo ndiyo inayobeba jukumu na dhima yote a kuvunjiwa heshima mara kwa mara matukufu ya Kiislamu nchini humo.
-
Rais wa Iran atoa mkono wa baraka za Idi kwa wakuu wa nchi zote za Waislamu
Jun 28, 2023 23:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu na pongezi za Idi viongozi mbalimbali wa nchi za Waislamuu kwa mnasaba wa maadhimisho ya sikukuu ya Idul Adh'ha.
-
Amir Abdollahian: Vikwazo vya dawa za waathiriwa wa silaha za kemikali ni mfano wazi wa uhalifu dhidi ya ubinadamu
Jun 28, 2023 09:46Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje w Iran amesema katika kumbukumbu ya mashambulio ya mabomu ya kemikali ya utawala wa Saddam Hussein katika eneo la Sardasht ncini Iran, kwamba vikwazo vya dawa zinazohitajiwa na maveterani walioathiriwa na mabomu ya kemikali ni miongoni mwa mifano ya wazi zaidi ya jinai mbaya dhidi ya ubinadamu.
-
Raisi: Iran na Qatar zina suhula nzuri za kupanua ushirikiano
Jun 28, 2023 04:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa simu na Amir wa Qatar na kusema: Iran na Qatar zina suhula nzuri za kupanua ushirikiano wao wa pande mbili, wa kikanda na kimataifa.
-
Ayatullah Khamenei: Idara ya Mahakama ilinde haki za wananchi
Jun 27, 2023 23:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza umuhimu wa kipekee wa Idara ya Mahakama ya Iran, akitaja utekelezaji kamili wa hati ya mabadiliko ya Mfumo wa Mahakama, mapambano dhidi ya ufisadi ndani na nje ya idara hiyo, kurejesha haki za umma, kudhamini uhuru halali, na kuzuia uhalifu kuwa ni miongoni mwa majukumu muhimu ya Mahakama.
-
Kiongozi Muadhamu: Umoja na Umaanawi unakabiliwa na uadui na ukwamishaji wa mabeberu
Jun 27, 2023 04:07Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe muhimu kwa mnasaba wa msimu wa mwaka huu wa Hija akisema, umoja na umaanawi hivi sasa unakabiliwa na uadui na ukwamishaji mkubwa zaidi wa ubeberu, uistikbari na uzayuni.
-
Marais wa Iran na Russia wazungumzia uasi wa Wagner, masuala ya Caucasia
Jun 27, 2023 00:00Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono mamlaka ya kujitawala Russia na vile vile hatua zilizochukuliwa na serikali ya Moscow kukomesha uasi wa kundi la Wagner wa Juni 24.
-
Kan'ani: Mtazamo, misimamo ya Iran kwa Marekani haibadiliki
Jun 26, 2023 07:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema mtazamo na misimamo ya Jamhuri ya Kiislamu kwa Marekani ipo wazi kabisa na haibadiliki, na inaweza kubadilika tu iwapo Washington itakomesha kikamilifu mienendo yake ya kiuhasama dhidi ya taifa hili.