-
Mkono wa pole kwa mnasaba wa kukumbuka kifo cha Imam Muhammad Baqir (as)
Jun 26, 2023 05:02Leo Jumatatu Jamhuri ya Kiilslamu inaadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Imam Muhammad Baqir(as) ambaye ni Imam wa Tano wa Mashia wote duniani.
-
Jumuiya ya Mwamko wa Kiislamu: Kuvunjia heshima matukufu ya dini ni jambo lisilokubalika
Jun 26, 2023 04:26Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu imelaani vikali kitendo cha walowezi wa Kizayuni cha kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu na kuingiza mbwa msikitini wakati wa mashambulizi ya askari wa Israel dhidi ya misikiti katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina.
-
Ayatullah Khamenei: Mapinduzi ya Kiislamu, yameikoa Iran na kuporomoka
Jun 25, 2023 08:27Ayatullah Khamenei amesema mbele ya hadhara ya mamia ya akinababa, mama na wake wa mashahidi kwamba, Mapinduzi ya Kiislamu yameinusuru Iran katika bonde la mporomoko wa maadili, kidini na kisiasa.
-
Amir -Abdollahian: Iran imependekeza ufumbuzi wa kisiasa kwa mgogoro wa Ukraine
Jun 25, 2023 08:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuhusu msimamo wa Iran mkabala wa vita huko Ukraine kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapinga vita na imependekeza ufumbuzi wa kisiasa kwa mgogoro huo.
-
Juhudi za Iran za kuimarisha uhusiano na majirani zake kuzaa matunda karibuni hivi
Jun 24, 2023 23:05Balozi wa Iran katika Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) amesema kuwa, jitihada za serikali ya 13 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kustawisha uhusiano wake na majirani zake zitazaa matunda mazuri karibuni hivi.
-
Iran yalaani hatua ya Wazayuni wa Israel ya kuchoma moto Qur'ani Tukufu
Jun 24, 2023 06:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali kitendo cha walowezi wa Kizayuni cha kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu wakati wa mashambulizi ya askari wa Israel dhidi ya misikiti katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Nchi za Magharibi zimepata busara kiasi katika maingiliano yao na Iran
Jun 23, 2023 09:33Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amezungumzia umuhimu wa safari iliyofanywa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Amerika ya Kusini na kusema: "Katika nchi za Ulaya, kunashuhudiwa mantiki ya kiwango fulani ya Wamagharibi katika kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran."
-
Abdollahian amaliza safari yake ya Ghuba ya Uajemi 'kwa habari nzuri sana'
Jun 23, 2023 04:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amehitimisha safari yake ya siku tatu katika nchi jirani za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi, akisema safari hiyo itakuwa na "habari njema" kwa nchi husika na eneo zima kwa ujumla.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonana na Rais wa Serikali ya Imarati
Jun 22, 2023 07:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo ameonana na Rais wa Serikali ya Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kumkabidhi mwaliko Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo ameonana na Rais wa Serikali ya Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kumkabidhi mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuitembelea Iran.wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuitembelea Iran.
-
Iran: Utawala wa Kizayuni unapanda upepo, ujue utavuna kimbunga
Jun 22, 2023 06:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na hatia wa Palestina kwamba, jinai za utawala huo dhalimu na uhalifu wake unazidi kuipunguzia uhai Israel katika ramani ya dunia.