-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonana na Rais wa Serikali ya Imarati
Jun 22, 2023 07:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo ameonana na Rais wa Serikali ya Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kumkabidhi mwaliko Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran leo ameonana na Rais wa Serikali ya Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kumkabidhi mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuitembelea Iran.wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuitembelea Iran.
-
Iran: Utawala wa Kizayuni unapanda upepo, ujue utavuna kimbunga
Jun 22, 2023 06:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na hatia wa Palestina kwamba, jinai za utawala huo dhalimu na uhalifu wake unazidi kuipunguzia uhai Israel katika ramani ya dunia.
-
Abdollahian: Kuimarisha uhusiano na majirani, kipaumbele cha Iran
Jun 22, 2023 03:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inalipa uzito suala la kuimarisha uhusiano na ushirikiano na mataifa jirani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Kiongozi Muadhamu: Njama za Wazayuni za kuyagawa makundi ya muqawama zimefeli
Jun 21, 2023 23:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema njama za Wazayuni za kupika majungu ya fitina ili kuibua mifarakano na kuyagawa makundi ya muqawama zimefeli na kusisitiza kwamba, utawala huo wa Kizayuni karibuni utapigishwa magoti na wanamuqawama katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Iran yakaribisha ubunifu wa Katibu Mkuu wa UN kuhusu mkutano wa nchi 8 za Ghuba ya Uajemi
Jun 21, 2023 08:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Ubunifu uliowasilishwa kuhusu mazungumzo ya kikanda unaweza kuchangia ushirikiano wa nchi nane za eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Balozi wa Uganda nchini Iran: Uganda inatoa ardhi bure kwa wakulima wa Iran
Jun 21, 2023 08:45Balozi wa Uganda nchini hapa amesema kuwa kwa kuzingatia uwezo na maendeleo ya kiviwanda ya mkoa wa Kati wa Iran; Uganda ina hamu ya kushirikiana kiuchumi na mkoa huo.
-
Kanani Chafi: Serikali ya Albania inapaswa kufidia makosa ya kuwa mwenyeji wa kundi la kigaidi la Munafiqin
Jun 21, 2023 08:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje jya Iran ameashiria vitendo vya jinai na kigaidi vinavyofanywa na kundi la Munafiqin la Iran huko Albania, na kueleza matumaini yake kuwa serikali ya nchi hiyo itafidia makosa yake ya kuwa mwenyeji wa kundi hilo la kigaidi.
-
Raisi: Muqawama umefichua kuwa Israel haina uwezo wa kujihami
Jun 21, 2023 00:15Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kambi ya muqawama imeanika njozi na uwezo bandia wa kujihami wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran: Mapuuza ya Magharibi yameshadidisha mgogoro wa wakimbizi
Jun 21, 2023 00:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Magharibi inajaribu kukwepa kubeba dhima ya mgogoro wa wakimbizi unaoshuhudiwa hivi sasa, na kwamba sera mbovu za Marekani na nchi za Ulaya ndizo zinazofaa kulaumiwa kwa mgogoro huo.
-
Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini Qatar ni ya kuimarisha uhusiano na nchi jirani
Jun 20, 2023 06:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran ameonana na kufanya mazungumzo na Amir wa Qatar na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na wamejadiliama njia za kustawisha zaidi uhusiano baina yao na pia ushirikiano na uhusiano mzuri wa nchi za eneo hili zima.