-
Wazayuni wanataka kuwakatisha tamaa vijana wa Palestina
Jun 19, 2023 07:27Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akizungumza leo Jumatatu mjini Tehran katika kikao na Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina na ujumbe alioandamana nao wa viongozi wa harakati hiyo amesisitiza kuwa, Wazayuni wanataka kuwakatisha tamaa vijana wa Palestina.
-
Iran: Madola ya Kiislamu yachukue hatua za kukomesha jinai za Israel
Jun 19, 2023 06:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyaasa madola ya Kiislamu kuchukua hatua za kivitendo za kukomesha jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Amir- Abdollahian akaribisha kustawisha uhusiano kati ya Iran na nchi za Kiafrika
Jun 19, 2023 05:21Hossein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran jana alikutana na kuzungumza na Issa Boro Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Burkina Faso na kukaribisha kustawisha uhusiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi za Kiafrika.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Uhusiano wa kihistoria, kiutamaduni na kisayansi kati ya Iran na Uzbekistan ni wa kipekee
Jun 19, 2023 01:11Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alisisitiza jana katika mazungumzo na Rais wa Uzbekistan hapa Tehran kwamba uhusiano wa kihistoria, kiutamaduni na kisayansi kati ya Iran na Uzbekistan ni wa kipekee.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi la Uganda lililoua zaidi ya watu 40
Jun 18, 2023 22:45Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi nchini Uganda lililouwa makumi ya wanafunzi katika shule moja ya sekondari Magharibi mwa nchi hiyo.
-
Iran na Uzbekistan zatiliana saini hati kadhaa za ushirikiano
Jun 18, 2023 09:51Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uzbekistan zimetiliana saini hati kadhaa za ushirikiano katika nyanja mbalimbali ambazo zinalenga kukuza zaidi mashirikiano baina ya mataifa haya mawili.
-
"Kupanuka muqawama, chachu ya kuporomoka Israel"
Jun 18, 2023 03:54Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuendelea kuenea harakati za muqawama katika maeneo yote ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu ni chachu ya kusambaratika na kuporomoka kwa kasi utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
"Maadui wa Waislamu hasa Israel, wamehamakishwa na ushirikiano wa Iran, Saudia"
Jun 18, 2023 01:10Rais wa Iran amesema kuimarika uhusiano na ushirikiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kumewahamakisha maadui wa Uislamu na Waislamu hususan utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudia wakubaliana kuunda kamati za pamoja za kisiasa na kiuchumi
Jun 18, 2023 01:06Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudi Arabia wamekubaliana kuunda kamati za pamoja za kisiasa na kiuchumi kati ya nchi mbili.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia awasili Tehran katika ziara yake ya kwanza
Jun 17, 2023 11:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia Mwanamfalme Faisal bin Farhan leo amewasili Tehran kwa ziara ya kwanza tangu mataifa haya mawili yenye nguvu ya Magharibi mwa Asia yakubaliane kurejesha uhusiano baina yao kufuatia kusitishwa kwa miaka saba.