-
Reuters: Mauzo ya mafuta ya Iran nje ya nchi yameweka rekodi
Jun 17, 2023 07:38Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa, ununuzi wa mafuta kutoka Iran mwaka huu 2023 umeongezeka kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; Adui Mzayuni amechanganyikiwa
Jun 17, 2023 02:46Akizungumza karibuni na Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina na ujumbe aliofuatana nao, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema hali ya sasa ya utawala wa Kizayuni wa Israel inatofautiana sana na ya miaka sabini iliyopita na kusisitiza: Hii leo adui Mzayuni yuko katika hali ya kutojua la kufanya na hali hii inaonyesha kuwa Jihad Islami ya Palestina na makundi mengine ya mapambano yametambua vyema njia ya kufuata na yanasonga mbele kwa busara.
-
Castro asisitiza kuwa zama za maamuzi ya upande mmoja duniani zimeyoyoma na kumalizika
Jun 16, 2023 08:14Rais wa zamani wa Cuba amesisitiza kwamba zama za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja duniani zimeyoyoma na kwamba sasa dunia inaelekea kwenye mfumo wa kambi kadhaa.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani na washirika wake hawana nafasi kanda ya Asia Magharibi
Jun 16, 2023 08:10Imamu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran ametaja maendeleo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa teknolojia ya amani ya nyuklia kuwa ni sababu ya ustawi wa wananchi.
-
Alamolhoda: Marekani inaihujumu Iran kwa kutumia udikteta wa vyombo vya habari
Jun 16, 2023 04:15Mke wa Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Marekani, ambayo ilikuwa ikiunga mkono tawala za kiimla hapa nchini huko nyuma, hivi sasa inaifanyia hujuma Jamhuri ya Kiislamu kwa kutumia udikteta wa vyombo vya habari.
-
Raisi: Kuimarika ushirikiano wa Iran na Cuba kunawahamakisha mabeberu
Jun 15, 2023 23:31Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema hatua ya kuendelea kuimarika na kupanuka ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Cuba inayahamakisha madola ya kibeberu na ya kiistikbari duniani.
-
Amir Abdollahian: Mazungumzo ya viongozi wa Iran na Nicaragua yamekuwa mazuri na yenye manufaa
Jun 15, 2023 08:39Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja mazungumzo kati ya viongozi wa Iran na Nicaragua kuwa mazuri na yenye manufaa kwa ajili ya kupanua na kuimarisha ushirikiano wa pande mbili.
-
Rais Raisi: Muqawama, kupigania uadilifu na uhuru mataifa ya dunia kumewahamakisha mabeberu
Jun 15, 2023 03:05Rais wa Jamhuri ya Kiialamu ya Iran amesema kuwa, muqawama, kupigania uadilifu na uhuru mataifa ya dunia kumewahamikisha maadui na kuwalazimisha kurudi nyuma.
-
Kiongozi Muadhamu: Utawala wa Kizayuni una haki ya kukhofu kutoiona miaka 80 ya kuasisiwa kwake
Jun 14, 2023 23:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema wakati alipoonana na Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad al Islami ya Paletina hapa mjini Tehran, kwamba, utawala wa Kizayuni hivi sasa ni dhaifu sana na una haki ya kukhofu kutoiona miaka 80 ya kuasisiwa kwake.
-
Jeshi la IRGC ya Iran lavunja mtandao wa magaidi
Jun 14, 2023 23:20Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limefanikiwa kusambaratisha mtandao wa magaidi katika mkoa wa Sistan na Baluchestan, kusini mashariki mwa Iran.