-
Safari ya Raisi nchini Nicaragua; Iran iko mbioni kuimarisha uhusiano na Amerika ya Kusini
Jun 14, 2023 08:33Baada ya kumaliza ziara yake rasmi nchini Venezuela, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo amewasili Managua ili kustawisha na kuimarisha uhusiano na Nicaragua. Safari hiyo inafanyiika kwa mwaliko rasmi wa Rais wa nchi hiyo, Daniel Ortega.
-
Raisi: Marekani inawaua mashujaa wa kupambana na ugaidi
Jun 14, 2023 04:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Marekani ilitaka kusimamisha gurudumu la maendeleo ya taifa la Iran kwa kutumia vikwazo na vitisho, lakini taifa la Iran limetumia vitisho na vikwazo hivyo kama fursa ya maendeleo.
-
Siku ya Kimataifa ya Uchangiaji Damu na mchango muhimu wa damu katika kunusuru wagonjwa
Jun 14, 2023 04:25Moja ya jumbe muhimu zinazotolewa katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uchangiaji Damu ni kuhusu umuhimu wa damu na bidhaa zake katika mchakato wa kuwatibu wagonjwa.
-
Raisi: Kuimarisha uchumi ndio njia bora zaidi ya kukabiliana na vikwazo
Jun 13, 2023 09:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuna uwezo mkubwa ambao haujatumika wa kuzidisha mabadilishano ya kiuchumi kati ya Iran na Venezuela na kueleza kuwa, njia ya kutimiza nia ya kufikisha kiwango cha biashara baina ya pande mbili kwenye dola bilioni 20 ni kuimarisha uwekezaji kati ya nchi hizo mbili.
-
Iran, Venezuela zasaini hati 19 za ushirikiano; mabadilishano ya kibiashara kufikia dola bilioni 20
Jun 13, 2023 04:31Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Venezuela zina uwezo wa kuongeza kiwango chao cha mabadilishano ya kibiashara kifikie cha thamani ya dola bilioni 20.
-
Kanani:Lengo la safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Amerika ya Latini ni kukuza uhusiano wa kiuchumi
Jun 13, 2023 01:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Lengo la safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Amerika ya Latini ni kukuza kiwango cha uhusiano wa kiuchumi.
-
Manowari za IRGC zasimikwa makombora yanayopiga kilomita 2,000
Jun 13, 2023 00:15Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) amesema jeshi hilo la SEPAH kwa mara ya kwanza limeanza kuzisheheneza manowari za Iran kwa makombora yaliyoundwa na wataalamu wa hapa nchini, yenye uwezo wa kupiga shabaha umbali wa kilomita 2,000.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la umuhimu wa kimkakati wa sekta ya nyuklia
Jun 12, 2023 07:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, sekta ya nyuklia ya Iran ni ufunguo wa maendeleo na ustawi wa nchi katika nyuga mbalimbali.
-
Kan'ani: Iran haitaunga mkono mbadala wowote wa JCPOA
Jun 12, 2023 07:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna mbadala wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Rais wa Iran aanza safari ya kuzitembelea nchi za Amerika ya Latini
Jun 12, 2023 04:04Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja uhusiano wa Iran na nchi huru za Amerika ya Latini kuwa wa kistratijia.