-
Mauzo ya zana za kijeshi za Iran nje ya nchi yaongezeka mara 3
Jun 11, 2023 22:47Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema mauzo ya silaha na zana za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu nje ya nchi yaliongezeka kwa asilimia 300 kwa mwaka wa Kiirani uliopita (uliomalizika Machi 20, 2023).
-
Kiongozi Muadhamu: Sekta ya nyuklia ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu
Jun 11, 2023 08:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo Jumapili ameonana na wanasayansi, wataalamu na wabobezi wa masuala ya nyuklia wa Iran na kusisitiza kuwa, sekta ya nyuklia ni muhimu kwa maendeleo na ustawi wa maisha ya wananchi wetu.
-
Raisi, Macron wajadili uhusiano wa Iran na Ufaransa, waafikiana juu ya ramani ya ushirikiano
Jun 11, 2023 01:15Marais wa Iran na Ufaransa wamebadilishana mawazo kuhusu njia za kuboresha uhusiano na kukubaliana juu ya ramani ya mazungumzo zaidi.
-
Iran yaiasa IAEA isitegemee taarifa za urongo za Israel
Jun 10, 2023 08:54Ofisi ya Kudumu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imeutaka Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuwa na msimamo wa kitaalamu kuhusu mradi wa Iran wa nishati ya nyuklia, na kujiepusha na taarifa za urongo za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Ebrahim Raisi: Iran imetimiza vigezo vyote vya kuwa mwanachama wa BRICS
Jun 10, 2023 03:20Rais Ebrahim Raisi amezungumzia uhusiano wa Iran na Jumuiya ya Shanghai na Jumuiya ya Eurasia pamoja na maandalizi yake mazuri ya kuwa mwanachama katika kundi la BRICS na kusema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imetimiza vigezo vyote na tuna matumaini ya kukubaliwa kuwa wanachama wa kundi hilo la BRICS.
-
Iran yakanusha kufikia 'makubaliano ya muda' na Marekani
Jun 09, 2023 22:15Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha vikali ripoti kwamba Iran na Marekani zinafikia "makubaliano ya muda" ambayo yatapelekea kuondolewa vikwazo kwa Jamhuri ya Kiislamu mkabala wa kufanyika mabadiliko katika mpango wa amani wa kuzalisha nishati ya nyuklia hapa nchini.
-
Haj Ali Akbari: "Maadui wamepata pigo kutokana na matumaini na imani ya taifa la Iran"
Jun 09, 2023 06:34Katibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya wiki hii ya hapa mjini Tehran amesema kuwa, imani na matumaini ya taifa la Iran ambayo leo hii yamekumbwa na mashambulio makubwa mno na maadui kuliko wakati mwingine wowote, yametoa pigo kubwa kwa maadui hao.
-
Tovuti ya Kizayuni: Israel haina silaha ya kukabiliana na kombora jipya la Iran
Jun 09, 2023 05:54Baada ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuzindua kombora lake jipya la Haypersonic lililopewa jina la "Fattah," duru mbalimbali za kijeshi zimekuwa zikifanya uchambuzi kuhusu kombora hilo.
-
Iran yalaani shambulizi la bomu lililoua, kujeruhi makumi msikitini Afghanistan
Jun 08, 2023 21:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana huko Afghanistan na kuua na kujeruhi makumi ya watu.
-
Balozi wa Iran: Israel inataka kuvuruga uhusiano wa Tehran, Riyadh
Jun 08, 2023 21:54Balozi mpya wa Iran nchini Saudi Arabia amesema Israel imekerwa na kuhamakishwa na hatua ya kuhuishwa uhusiano wa kidiplomasia wa Tehran na Riyadh, na kwamba utawala huo wa Kizayuni umeazimia kuuvuruga uhusiano huo.