-
Balozi wa Iran: Israel inataka kuvuruga uhusiano wa Tehran, Riyadh
Jun 08, 2023 21:54Balozi mpya wa Iran nchini Saudi Arabia amesema Israel imekerwa na kuhamakishwa na hatua ya kuhuishwa uhusiano wa kidiplomasia wa Tehran na Riyadh, na kwamba utawala huo wa Kizayuni umeazimia kuuvuruga uhusiano huo.
-
Kan'ani: Shughuli za makombora za Iran ni za kawaida na zinafanyika kihalali
Jun 08, 2023 08:05Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shughuli za makombora za taifa hili ni za kawaida na zinafanyika kwa njia ya halali.
-
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Brunei Darussalam zasisitiza kuimarisha ushirikiano
Jun 07, 2023 22:49Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Brunei wamekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na kusisitiza udharura wa kukuza zaidi ushirikiano baina ya mataifa yao.
-
Ufunguzi wa ubalozi wa Iran nchini Saudi Arabia; kushindwa kwingine kwa siasa za kikanda za Marekani
Jun 07, 2023 21:58Sambamba na kufufuliwa uhusiano wa kisiasa na kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufalme wa Saudi Arabia, ubalozi wa Iran mjini Riyadh ulifunguliwa tena Jumanne, Juni 6 baada ya kufungwa kwa miaka saba.
-
Rais wa Iran kutembelea Venezuela, Nicaragua na Cuba
Jun 07, 2023 06:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni atafanya ziara katika nchi tatu za Venezuela, Nicaragua na Cuba kwa lengo la kuimarisha uhusiano na nchi rafiki na kupanua kiwango cha ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa na kisayansi na nchi hizo.
-
Kundi la Taliban laiomba Iran iijengee Afghanistan kiwanda cha mabomba ya sindano na dripu
Jun 07, 2023 02:35Waziri wa Afya wa serikai ya kundi la Taliban nchini Afghanistan ameonana na Mkuu wa Idara ya Mauzo ya Nje ya Iran na kuiomba Jamhuri ya Kiislamu iijengee Afghanistan kiwanda cha mabomba ya sindano na dripu.
-
Iran yasema Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Jun 06, 2023 22:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali hatua ya utawala haramu wa Israel wa kumuua mtoto mchanga wa Kipalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na kusema Marekani pia ni mshirika katika jinai za kila siku za Israel kutokana na uungaji mkono wake wa mara kwa mara kwa utawala huo unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Ubalozi wa Iran nchini Saudi Arabia wafunguliwa tena
Jun 06, 2023 22:16Ubalozi wa Iran nchini Saudi Arabia umefunguliwa tena ikiwa ni miezi mitatu baada ya makubaliano ya kurejeshwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili.
-
Kombora la Hypersonic la Fattah; matunda ya kimapinduzi na uainishaji hatima katika vita vya kisasa
Jun 06, 2023 21:53Jumanane ya jana tarehe 6 Juni, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilizindua kombora lake la kwanza la balistiki la Hypersonic lililopewa jina la 'Fattah'.
-
SEPAH: Silaha za Iran ni silaha za kumsambaratisha adui + Video
Jun 06, 2023 06:31Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema katika mahojiano aliyofanyiwa na shirika la habari la Iran Press wakati wa uzinduzi wa kombora la Hypersonic lililopewa jina la 'Fattah' kwamba, silaha za Iran ni za kumsambaratisha adui.