-
SEPAH: Silaha za Iran ni silaha za kumsambaratisha adui + Video
Jun 06, 2023 06:31Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema katika mahojiano aliyofanyiwa na shirika la habari la Iran Press wakati wa uzinduzi wa kombora la Hypersonic lililopewa jina la 'Fattah' kwamba, silaha za Iran ni za kumsambaratisha adui.
-
Iran yazindua kombora lake la kwanza la Hypersonic la 'Fattah'
Jun 06, 2023 03:15Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua kombora lake la kwanza la balistiki la Hypersonic lililopewa jina la 'Fattah'.
-
Uwepo wa Iran kwenye jumuiya za SCO, BRICS unaashiria kufeli sera ya kuitenga nchi hii
Jun 06, 2023 01:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema uwepo amilifu wa Iran kwenye Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) na Kundi la BRICS ni ithibati na ya kufeli na kusambaratika sera ya kuitenga Iran.
-
Balozi za Iran na Saudia zinafunguliwa rasmi leo na kesho, Tehran na Riyadh
Jun 05, 2023 22:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, balozi za Saudi Arabia na Iran zinafunguliwa rasmi leo Jumanne na kesho Jumatano katika miji mikuu ya nchi hizi mbili ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano ya pande mbili ya kurejesha kikamilifu uhusiano wao wa kidiplomasia.
-
Rais wa Iran: Huduma za Mapinduzi ya Kiislamu zielezwe kwenye majukwaa mbalimbali
Jun 05, 2023 07:51Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuna udharura wa wananchi hususan kizazi cha vijana kuelezwa mageuzi makubwa yaliyosababishwa na Harakati ya tarehe 15 Khordad, na ametoa wito wa kubainishwa huduma na hatua zinazochukuliwa na Mapinduzi ya Kiislamu katika majukwaa mbalimbali.
-
Sisitizo jingine la Kiongozi Muadhamu kuhusu haja ya kusimama imara dhidi ya maadui
Jun 05, 2023 03:20Akizungumza jana Jumapili katika maadhimisho ya mwaka wa 34 wa kukumbuka kifo cha Imam Khomeini (MA), Mwanzilishi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, yaliyofanyika kwa mahudhurio makubwa ya wananchi wa matabaka mbalimbali na viongozi wa mfumo wa Kiislamu, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mara nyingine tena amesisitiza udharura wa kusimama kidete kwa ajili ya kukabiliana na uadui wa kiistikbari.
-
Imam Khomeini; shakhsia wa kimataifa na nembo ya kupinga ubeberu
Jun 04, 2023 23:03Jumapili ya jana ilisadifiana na siku ya kukumbuka kifo cha Imam Khomeini (MA), mwasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Kulinda uhuru, maslahi ya taifa kunafungamana na kulindwa imani, matumaini
Jun 04, 2023 11:29Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, kulinda uhuru na heshima na maslahi ya taifa kunafungamana na kudumisha imani na matumaini.
-
Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na nchi rafiki
Jun 04, 2023 08:13Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuimarisha uhusiano wake na nchi ambazo zimetangaza utayarifu wao wa kuhuisha uhusiano na Tehran.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Imam Khomeini ni mmoja wa vinara wa historia
Jun 04, 2023 03:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amemtaja hayati Imam Ruhullah Khomeini (RA) kuwa ni miongoni mwa viongozi vinara wa historia na kusisitiza kuwa: Viongozi wa aina hii hawawezi kufutwa au sura yao kupotoshwa.