-
Kasisi wa Kiafrika: Imam Khomeini (RA) alikuwa kiongozi mwenye nguvu na fikra ya kimataifa
Jun 04, 2023 02:49Kasisi wa Afrika Kusini ametangaza kwamba fikra za mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ayatullah Ruhullah Khomeini zilikuwa na taathira kubwa kwa watu na siasa nchini Iran na meneo menginezo ya dunia.
-
Hauli ya mwaka wa 34 tokea alipoaga dunia Imam Khomeini (RA) kufanyika leo
Jun 03, 2023 21:53Leo wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wapenda haki kote duniani wanakumbuka mwaka wa 34 tokea alipoaga dunia, Imam Ruhullah Khomeini (RA) mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mufti Mkuu wa Belarus: Fikra za Imam Khomeini zimeenea kote duniani
Jun 03, 2023 07:40Mufti Mkuu wa Belarus amesema kuwa fikra za Imam Ruhullah Khomeini (RA) zitakumbukwa milele katika historia na ni tochi inayoongoza walimwengu.
-
Kuchukizwa maadui na ushindi wa kidiplomasia wa Iran katika Umoja wa Mataifa
Jun 03, 2023 06:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Alhamisi iliyopita iliteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza Kuu la 78 la Umoja wa Mataifa na vile vile ripota wa Kamati ya Upokonyaji na Kuzuia Usambazaji Silaha ya Baraza Kuu na pia kuwa mjumbe wa bodi ya uongozi ya kamati hiyo.
-
Kan'ani: Gurudumu la wakati haliende mbele kwa maslahi ya Marekani na Israeli
Jun 03, 2023 05:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema: Gurudumu la wakati haliendi mbele kwa maslahi ya Marekani na utawala haramu wa Israel.
-
Al-Qaddumi: Kadhia ya Palestina ni kipaumbele cha sera za nje za Iran
Jun 03, 2023 02:47Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nchini Iran amesema kuwa, kwa miaka mingi sasa baada ya kupata ushindi Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, kadhia ya Palestina imeendelea kuwa kipaumbele cha sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Saudia wakutana pambizoni mwa mkutano wa BRICS
Jun 02, 2023 22:04Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wamekutana na kufanya mazungumzo nchini Afrika Kusini pambizoni mwa mkutano wa kundi la BRICS.
-
Ayatullah Ahmad Khatami: Muqawama na uchajimungu viini viwili vya kumkwamisha adui
Jun 02, 2023 07:48Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, kile ambacho kinawakwamisha maadui ni muqawama, kusimama kidete, maneno ya haki, uchajimungu na kulinda mipaka ya Mwenyezi Mungu.
-
Iran yakamata zaidi ya tani ya madawa ya kulevya kusini mashariki mwa nchi
Jun 02, 2023 02:56Kamanda wa walinzi wa mpakani wa mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran amesema kuwa, askari walioko chini ya amri yake wamefanikiwa kuangamiza magenge kadhaa ya magendo ya mihadarati na kukamata zaidi ya tani moja na kilo 370 za madawa ya kulevya.
-
Iran na Afrika Kusini zatilia mkazo kustawisha uhusiano baina yao katika nyanja zote
Jun 01, 2023 22:43Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wamekutana pambizoni mwa kikao cha kundi la BRICS na kutilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja zote.