-
Amir Abdollahian:Kushiriki katika makongamano ya kimataifa ni moja ya hatua za sera za kigeni za serikali ya Iran
Jun 01, 2023 02:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameutaja ushiriki chanya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika makongamano ya kimataifa kuwa moja ya hatua za doktrini za sera za nje zenye mlingano za serikali ya Iran.
-
Kan'ani: Iran inafuatilia kwa karibu harakati za kikanda za utawala wa Kizayuni wa Israel
May 31, 2023 07:54Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba: "Nyumba ya buibui haiwezi kutegemewa na jitihada za kupanua uwepo wa utawala haramu wa Israel kikanda hazitasaidia kukarabati msingi inayoyumba ya utawala bandia wa Kizayuni."
-
Wanasiasa wa Misri wakaribisha kustawishwa uhusiano wa Tehran na Cairo
May 31, 2023 03:23Wanasiasa na viongozi wa Misri wamekaribisha kwa mikono miwili juhudi za kuhuishwa na kurejeshwa uhusiano wa Iran na Misri.
-
Nafasi ya BRICS duniani na umuhimu wake kwa Iran
May 31, 2023 02:20Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran atasafiri hivi karibuni kuelekea Cape Town, Afrika Kusini, kwa ajili ya kushiriki katika mkutano ujao wa BRICS .
-
Ndege ya abiria iliyoundwa Iran yafanyiwa majaribio kwa mafanikio + Video
May 31, 2023 00:17Ndege ya abiria na mizigo ya iliyopewa jina la Simorgh imeundwa kikamilifu na wataalamu wa Shirika la Viwanda vya Anga la Wizara ya Ulinzi ya Iran na imefanyiwa majaribio ya kuruka kwa mafanikio makubwa.
-
Amir-Abdollahian: Kukaribiana Tehran-Riyadh sio 'makubaliano ya kimbinu'
May 31, 2023 00:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema maelewano kati ya Iran na Saudi Arabia si "makubaliano ya kimbinu," akisisitiza kuwa uhusiano mzuri na majirani ni miongoni mwa vipaumbele vya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Msimamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu kuhuishwa uhusiano wa Iran na Misri
May 30, 2023 06:43Jumatatu ya jana tarehe 29 Mei, Sultan Haitham bin Tariq Aal Saeed wa Oman alikutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Kan'ani aliambia Bunge la Ulaya: Haki za binadamu zina uhusiano gani na kuwaunga mkono magaidi
May 30, 2023 06:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezungumzia suala la kualikwa kiongozi wa kundi la kigaidi la MKO katika Bunge la Ulaya na nara zinazotolewa na nchi za Ulaya kuhusu haki za binadamu na kuhoji: Haki za binadamu zina uhusiano gani na kuwaunga mkono magaidi?
-
Iran: Tupo tayari kuisaidia Mali kukabiliana na ugaidi
May 30, 2023 05:59Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kuipa Mali uzoefu ilionao katika kukabiliana na ugaidi.
-
Jebeli: Kuweza Muqawama wa Palestina kuushurutisha utawala wa Kizayuni ni ushindi mkubwa
May 30, 2023 03:10Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) ameyapongeza makundi ya muqawama ya Palestina kwa ushindi wao mkubwa katika mapigano ya hivi karibuni na utawala haramu wa Kizayuni wa Israe ambayo yalimalizika tu baada ya Israel kukubali masharti yao.