-
Rais wa Iran: Haitoshi kulaani tu jinai za utawala haramu wa Israel
Apr 20, 2023 03:24Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, haitoshi kulaani tu hujuma za hivi karibuni za utawala haramu wa Israel dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa na mashambulio dhidi ya wauminii wa Kipalestina walioko katika hali ya funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Sheikh Naim Qassim: Makubaliano ya Iran na Saudi Arabia yalikuwa ya kishujaa
Apr 20, 2023 03:24Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya Iran na Saudi Arabia ya kuanzisha tena uhusiano wao wa kidiplomasia yalikuwa ya kishujaa.
-
Rais wa Iran: Ushirikiano wa mataifa ya Kiislamu una taathira chanya katika kupatikana haki za Palestina
Apr 19, 2023 23:39Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ushirikiano wa mataifa ya Kiislamu una taathira chanya katika kupatikana haki za taifa la Palestina
-
Meja Jenerali Mzayuni: Nguvu ya Iran dhidi ya Israel imeongezeka mara mia kadhaa; tunahofia jibu la Iran
Apr 19, 2023 23:34Meja Jenerali katika jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa Tel Aviv haina uwezo wa kukabiliana kijeshi na miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani na kusema: Nguvu ya Iran dhidi ya utawala wa Israel imeongezeka mara mia kadhaa. Amesema, hujuma yoyote dhidi ya Iran itapelekea kuangamizwa kikamilifu utawala huo.
-
Eslami: Mazungumzo kati ya Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki yanaendelea
Apr 19, 2023 09:11Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, mazungumzo kati ya Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) yanaendelea.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Nchi inahitaji matumaini, busara na kiu ya kuwa na hali bora
Apr 18, 2023 23:26Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: kinyume na matakwa ya adui, jamii ya wanachuo inapaswa kuleta mabadiliko akilini kulingana na uhalisia wa jamii ya Iran na kisha kuleta mabadiliko akilini kulingana uhalisia wa dunia na kuelekeza uono na juhudi zake katika upeo wa malengo ya muda mrefu.
-
"Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu"; sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kufeli sera za Marekani Asia Magharibi
Apr 18, 2023 09:17Tarehe 5 Aprili Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika kikao chake na viongozi na maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Admeri Irani: Iran inafuatilia nyendo za meli za Marekani katika eneo la Magharibi mwa Asia
Apr 18, 2023 08:42Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Vikosi vya jeshi la Iran vinafuatilia uharibifu na chokochoko za meli za kivita za Marekani katika eneo la Magharibi mwa Asia."
-
Raisi: Iran itaiangamiza Tel Aviv, Haifa endapo Israel itaanzisha hata uchokozi mdogo
Apr 18, 2023 03:42Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi, ameuonya vikali utawala wa kibaguzi wa Israel kuhusu kuchukua hata hatua ndogo ya uchokozi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, akisema Iran itajibu uchokozi huo kwa "kuangamiza Haifa na Tel Aviv."
-
FAO: Iran ilikuwa nchi ya tatu kwa uzalishaji wa asali duniani mwaka 2022
Apr 18, 2023 03:13Takwimu za hivi karibuni za Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) zinaonyesha kuwa Iran ilikuwa nchi ya tatu kwa uzalishaji wa asali duniani mwaka 2022.