-
Rais Raisi: Muungano wa nchi za Kiislamu ni muhimu kusaidia Palestina, kukabiliana na uhalifu wa Israel
Apr 17, 2023 22:43Rais Ebrahim Raisi wa Iran ametoa wito wa kuwepo maelewano baina ya nchi za Kiislamu ili kuiunga mkono Palestina na kulaani vitendo vya kichokozi vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Balozi za Iran na Saudia kufunguliwa tena tarehe 9 ya mwezi ujao wa Mei
Apr 17, 2023 07:45Mkurugenzi Mkuu wa masuala ya Ghuba ya Uajemi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza kuwa balozi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia zitafunguliwa tena tarehe 9 ya mwezi ujao wa Mei.
-
Iran yakosoa wanaodai kutetea haki za binadamu kwa kunyamazia ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya Wapalestina
Apr 17, 2023 03:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali hatua ya madola yanayodai kutetea haki za binadamu ya kunyamazia kimya ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
"Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu"; mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu nguvu ya makundi ya Palestina mkabala na Israel
Apr 17, 2023 02:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, hivi karibuni alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika kikao chake na viongozi na maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais wa Iran: Mataifa ya Kiislamu lazima yakabiliane na ukatili wa Israel
Apr 16, 2023 22:05Rais wa Iran Ebrahim Raisi amesema nchi za Kiislamu lazima ziungane na kukabiliana na ukatili wa utawala wa Israel dhidi ya watu wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Iwapo hatua ya kimantiki itachukuliwa, inawezekana kushinda mahesabu ya adui
Apr 16, 2023 08:01Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa iwapo hatua za kimantiki zitachukuliwa, inawezekana kushinda mahesabu ya adui
-
Qalibaf: Mwaka huu yamefanyika moja ya maandamano ya Siku ya Quds yenye taathira kubwa zaidi
Apr 16, 2023 03:34Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema: kuhudhuria kwa hamasa kubwa wananchi wa Iran katika maandamano ya Siku ya Quds Duniani bila shaka kumeyafanya maandamano ya mwaka huu kuwa moja ya maandamano yenye msisimko na taathira kubwa zaidi katika miaka ya hivi karibuni na kuwapa faraja Mujahidina wanaopambana katika njia ya ukombozi wa Quds.
-
Iran yalaani vikali kuvunjiwa heshima tena Qur'ani tukufu nchini Denmark
Apr 15, 2023 22:57Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Nasser Kanani amelaani vikali kitendo cha kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu kilichofanywa nchini Denmark.
-
Wanaoikalia Quds kwa mabavu wanakaribia kuanguka
Apr 15, 2023 22:13Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa ujumbe wa maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds ni kutangaza mshikamano na Umma wa Kiislamu na kwamba jitihada zinazofanywa na tawala za Kiarabu za kuhuisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel hazitadhamini usalama wa utawala huo.
-
Mkuu wa IRGC: Israel itaporomoka na Palestina itapata uhai mpya
Apr 14, 2023 23:07Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) anasema kuwa utawala wa Israel uko karibu kuporomoka huku ukikabiliwa na migogoro kadhaa wakati ambao harakati za ukombozi wa Palestina zinapata uhai mapya.