-
Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya Siku ya Quds na kulaani jinai za Israel, Marekani
Apr 14, 2023 08:50Mamilioni ya wananchi wa Iran ya Kiislamu leo wameshiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds na kuunga mkono mapambano ya ukombozi ya wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina ikiwa ni pamoja na kuonyesha kuchukizwa kwao na jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel na waitifaki wake hususan Marekani.
-
Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yameanza katika kila pembe ya Iran ya Kiislamu
Apr 14, 2023 04:21Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yameanza katika kila pembe ya Iran ya Kiislamu kwa kauli mbiu kuu "Palestina mhimili wa umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu; Quds inakaribia kukombolewa".
-
Raisi: Nchi za Kiislamu ziunde kambi moja iliyoshikamana ili kuzuia vitendo vya kinyama vya Wazayuni
Apr 13, 2023 23:30Rais Ebrahim Raisi amesema katika mazungumzo aliyofanya kwa njia ya simu na Waziri Mkuu wa Pakistan kwamba, nchi za Kiislamu zinapaswa kuunda kambi moja iliyoshikamana ili kuzuia kuendelea vitendo vya kinyama vya Wazayuni.
-
Nasser Kanaani: Shughuli za kibiolojia za kijeshi za Marekani huko Ukraine ni kinyume na makubaliano ya kimataifa
Apr 13, 2023 23:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa shughuli za kibiolojia za kijeshi zinazotekelezwa na Marekani nchini Ukraine ni kinyume na mapatano ya kimataifa na zinahitaji kufanyiwa uchunguzi wa kimataifa usioegemea upande wowote.
-
Ramani ya Utaratibu Mpya wa Ulimwengu; Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kudhoofika sarafu ya dola
Apr 13, 2023 08:49Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumanne ya tarehe 4 Aprili alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika mkutano na viongozi na maafisa watendaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Marajii Taqlidi wataka mahudhurio makubwa ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds hapo kesho
Apr 13, 2023 08:49Marajii Taqlidi wa Waislamu wa Kishia wametoa taarifa kwa nyakati tofauti wakiwataka Waislamu ulimwenguni hasa wananchi wa iran kujitokeza kwa wingi hapo kesho katika maandamano ya Siku yay Kimataifa ya Quds.
-
Katika mkesha wa Siku ya Quds: Wizara ya Mambo ya Nje Iran yaitaka jamii ya kimataifa kukomesha jinai za Israel
Apr 13, 2023 04:40Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekumbusha wajibu wa kisheria wa mashirika na taasisi za kimataifa na za kutetea haki za binadamu wa kuunga mkono haki za watu walio chini ya utawala ghasibu huko Palestina, na kutoa wito wa kukomeshwa uvamizi huo na kusimamisha jinai za Wazayuni.
-
Ujumbe wa Iran uko Saudi Arabia kuandaa ufunguzi wa ubalozi
Apr 12, 2023 22:53Ujumbe wa Iran umewasili katika mji mkuu wa Saudi Arabua, Riyadh, kujadili utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kati ya pande hizo mbili mwezi uliopita ili kurejesha uhusiano wa kidiplomasia.
-
"Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu"; Rai ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kusambaratika utawala wa Kizayuni
Apr 12, 2023 10:18Akizungumzia migogoro ya ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika kikao cha sikukuu ya Nowruz cha maafisa wa Jamahuri ya Kiislamu, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei alisema: "Tulisema kwamba utawala wa Kizayuni hautaona miaka 25 mingine, wao wenyewe wana haraka na wanataka kuondoka mapema na wanaendelea kusema kwamba kusambaratika kwa Israel kumekaribia na hatutafikisha umri wa miaka 80."
-
Rais Raisi: Taifa la Iran litabaki kuwa thabiti katika malengo ya Uislamu hadi Quds itakapokombolewa
Apr 12, 2023 09:39Rais Ebrahim Raisi amesema: taifa adhimu la Iran litatangaza kwa mara nyingine tena kwamba litabaki kuwa thabiti katika malengo ya Uislamu hadi itakapokombolewa Quds kikamilifu, kwa kushiriki kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds.