-
Amir-Abdollahian: Iran ina wasiwasi na hali inayoshuhudiwa huko Palestina
Apr 12, 2023 03:37Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran ina wasiwasi na hali ya mambo iinayoshuhudiwa hivi sasa huko Palestina ikiwa ni matokeo ya hatua za kijinai za utawala haramu wa Israel.
-
Ayatullah Noori Hamedani: Utawala haramu wa Israel unavuta pumzi zake za mwisho
Apr 12, 2023 03:35Ayatullah Hussein Noori Hamedani ambaye ni miongoni mwa viongozi wakuu wa kidini katika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran amesisitiza juu ya udharura wa kudhuhuria maandamano ya Siku ya Kiimataifa ya Quds na kueleza kwamba, hivi sasa utawala haramu wa Israel unavuta pumzi zake za mwisho.
-
Mamilioni wakumbuka siku ya kufa shahidi Imam Ali (as)
Apr 12, 2023 00:10Mamilioni ya Waislamu hususan wapenzi na wafuasi wa Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad (saw) kote duniani usiku wa kuamikia leo wameshiriki katika majlisi, vikao na mijumuiko ya kukumbuka tukio chungu la kufa shahidi Kiongozi wa Waumini, Imam Ali bin Abi Twalib (as).
-
Kwa mwaka mmoja mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Saudia kufikia dola bilioni moja
Apr 11, 2023 08:22Msemaji wa masuala ya kiuchumi wa serikali ya Iran amesema: sambamba na kurejeshwa uhusiano kati ya Iran na Saudi Arabia, shirika la maendeleo ya biashara limeweka lengo la uwekezaji wa dola bilioni moja kwa mwaka ujao katika mabadilishano ya biashara na Saudia.
-
Waziri Utamaduni Iran: Imani ya kuporomoka kwa Uzayuni ni moja ya mafanikio muhimu ya Mapinduzi ya Kiislamu
Apr 11, 2023 04:03Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema kuwa, mafundisho ya Imam Khomeini (MA), mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, yameleta uwezekano wa wote kuishi katika dunia isiyo na Uzayuni.
-
Kanani Chafi: Nchi za Kiislamu zizuie kupotoshwa fikra za waliowengi kuhusu kadhia ya Palestina
Apr 10, 2023 08:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zina wajibu wa kuuzuia utawala wa Kizayuni kutumia anga za kisiasa katika eneo kwa ajili ya kupotosha fikra za waliowengi kuhusu suala la Palestina.
-
Raisi: Katika Siku ya Quds mwaka huu, mataifa huru yatatangaza kuchukizwa kwao na jinai za Israel
Apr 10, 2023 03:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Mataifa huru yatatangaza kuchukizwa kwao na jinai za utawala wa Kizayuni Israel kwa kuadhimisha Siku ya Kimataiifa ya Quds mwaka huu kwa mahudhurio makubwa zaidi.
-
Raisi: Mustakbali unatia matumaini kwa kambi ya mapambano
Apr 09, 2023 23:17Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na Rais wa Jamhuri ya Syria kwamba mustakbali unaonekana kuwa mzuri na wenye kuleta matumaini kwa harakati ya muqawama na mapambano.
-
IRGC ya Iran imefanikiwa kufanyia majaribio ndege mpya isiyo na rubani ya kamikaze
Apr 09, 2023 22:36Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimefanikiwa kufanyia majaribio ndege mpya isiyo na rubani ya kujilipua (kamikaze), iliyopewa jina la Me’raj 532, iliyoundwa na kutengenezwa na wataalamu vijana wa Iran.
-
"Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu", msisitizo wa Kiongozi Muadhamu juu ya jinsi Marekani inavyofaidika na vita vya Ukraine
Apr 09, 2023 10:51Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumanne ya tarehe 15 Aprili alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika kikao chake na viongozi na maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.