-
"Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu", msisitizo wa Kiongozi Muadhamu juu ya jinsi Marekani inavyofaidika na vita vya Ukraine
Apr 09, 2023 10:51Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumanne ya tarehe 15 Aprili alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika kikao chake na viongozi na maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Qalibaf: Utawala wa Kizayuni uko katika hali dhaifu zaidi katika historia
Apr 09, 2023 04:40Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel leo hii uko katika hali dhaifu sana katika historia yake na kwamba, nguvu ya harakati ya muqawama imeulazimisha utawala huo kutoa majibu ya woga.
-
Raisi asisitizia mitazamo ya pamoja ya nchi za Kiislamu kukabiliana na jinai za utawala ghasibu wa Israel
Apr 08, 2023 00:21Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuweko mitazamo zaidi ya pamoja baina ya mataifa ya Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na jinai za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Palestina.
-
Iran yataka kufanyika mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu, Wapalestina watetewe
Apr 07, 2023 23:50Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amefanya mazungumzo ya simu na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na kutoa wito wa kuitishwa kikao cha dharura cha jumuiya hiyo ili kukabiliana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa.
-
Ayatullah Khatami: Siku ya Quds ni kumbukumbu ya Imam Khomeini na nembo ya uhai wa Iran
Apr 07, 2023 07:38Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, Siku ya Kimataifa ya Quds ni kumbukumbu ya Imam Khomeini (MA) na nembo ya kuwa hai tafa la Kiislamu la Iran.
-
Rais wa Iran: Waislamu waonyeshe katika Siku ya Quds mwaka huu kwamba wanampinga dhalimu
Apr 07, 2023 07:31Rais Ibrahim Raisi wa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, katika Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu, Waislamu wanapaswa kuonyesha kwamba, wanamuunga mkono madhulumu na wako dhidi ya mvamizi na dhalimu.
-
Kukutana rasmi Amir-Abdollahian na Faisal Farhan; kuhuishwa uhusiano wa Saudi Arabia na Iran
Apr 06, 2023 09:23Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wamekutana leo katika mji mkuu wa China Beijing na kukubaliana kufunguliwa ofisi za uwakilishi wa nchi mbili na kusisitiza utayari wao wa kuondoa vizuizi vinavyokwamisha kupanuliwa mashirikiano baina ya Tehran na Riyadh.
-
Abdollahian: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia zina nia ya kustawisha uhusiano wa pande mbili
Apr 06, 2023 09:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wana nia ya kustawisha na kuimarisha uhusiano wa pande mbili.
-
Taarifa ya pamoja ya Iran na Saudia: Ofisi za uwakilishi zitafunguliwa, mashirikiano yatapanuliwa
Apr 06, 2023 04:36Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Saudi Arabia ambao wamekutana katika mji mkuu wa China Beijing wamekubaliana kufunguliwa ofisi za uwakilishi wa nchi mbili na kusisitiza utayarifu wao wa kuondoa vizuizi vinavyokwamisha kupanuliwa mashirikiano baina ya Tehran na Riyadh.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Kimsingi hasa Wamagharibi ni maadui wa Haki za Binadamu
Apr 06, 2023 00:04Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Wamagharibi haiwaelekei kwa namna yoyote ile watoe madai ya haki za binadamu na akasisitiza kwamba, kimsingi hasa Wamagharibi ni maadui wa Haki za Binadamu.