-
Juhudi za kisiasa za Baraza la Haki za Binadamu za kuharibu sura ya Iran
Apr 05, 2023 22:54Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepinga azimio la kisiasa lililotolewa na Baraza la Haki za Binadamu dhidi ya Iran, na kusema kuwa upotoshaji wa wazi wa haki za binadamu kwa malengo ya kisiasa ni jambo la kusikitisha.
-
Ripoti: Wanadiplomasia wakuu wa Iran na Saudia kukutana Beijing Alkhamisi
Apr 05, 2023 08:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa Saudi Arabia, Mwanamfalme Faisal bin Farhan Al Saud, wanatazamiwa kukutana katika mji mkuu wa China, Beijing kesho Alkhamisi.
-
Kanaani: Hujuma ya Israel dhidi ya msikiti wa al-Aqswa imedhihirisha dhati yake ya unyama
Apr 05, 2023 04:20Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hujuma na shambulio la kinyama la vikosi vya utawala ghasibu vya Kizayuni dhidi ya waumini wa Kipalestina waliokuwa katika ibada ya itikafu katika msikiti wa Al-Aqswa kwa mara nyingine imeweka bayana sura ya kinyama na kikatili ya utawala huo na ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Iran yapongeza misimamo ya Mauritania ya kuunga mkono taifa la Palestina
Apr 05, 2023 03:38Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza na kusifu misimamo ya serikali na wananchi wa Mauritania ya kuunga mkono malengo matukufu ya wananchi wa Palestina.
-
Kiongozi Muadhamu: Matukio ya kisiasa ulimwenguni yanadhoofisha kambi ya maadui wa Jamhuri ya Kiislamu
Apr 05, 2023 00:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, matukio ya kisiasa ulimwenguni yamekuwa yakitokea kwa kasi na wakati huo huo yamekuwa katika mkondo wa kudhoofisha kambi ya maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds kufanyia Aprili 14
Apr 04, 2023 23:07Mwenyekiti wa Makao Makuu ya Intifadha na Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Iran amesema nara na kaulimbiu ya Siku ya Kimataifa Quds mwaka huu ni: "Palestina ni Mhimili wa Umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu, na Quds (Jerusalem) Inakaribia Kukombolewa."
-
Wairani washiriki mazishi makubwa ya maafisa wa IRGC waliouawa shahidi Syria
Apr 04, 2023 09:54Makumi ya maelfu ya waombolezaji wamejitokeza mitaani jijini Tehran kutoa heshima zao kwa washauri wawili wa kijeshi wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ambao waliuawa shahidi katika hujuma ya kigaidi ya ndege za kivita za Israel karibu na mji mkuu wa Syria, Damascus.
-
Raisi: Viongozi wa nchi za Kiislamu wafanikishe umoja wa Umma wa Kiislamu
Apr 03, 2023 08:53Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe Rais wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen akisisitiza umuhimu wa kupatikana umoja wa Umma wa Kiislamu.
-
Kitengo cha Kimataifa cha Maonyesho ya Qur’ani ya Tehran kuzinduliwa leo
Apr 03, 2023 04:52Kitengo cha Kimataifa cha Maonyesho ya 30 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran kinafunguliwa leo Jumatatu, Aprili 3, 2023.
-
Jeshi la Iran laionya na kuizuia ndege ya kijasusi za Marekani katika mipaka ya Iran
Apr 03, 2023 04:41Vikosi vya wanamaji vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeitambua na kuionya ndege ya kijasusi ya Marekani baada ya kuingia katika mipaka ya nchi karibu na Bahari ya Oman.