-
Iran yaapa kulipiza kisasi kwa shambulio la Israel huko Syria ambalo liliua maafisa Wairani
Apr 03, 2023 04:19Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeapa kulipiza kisasi kwa jinai ya hivi karibuni zaidi ya utawala haramu wa Israel ya kuwaua washauri wawili wa kijeshi wa Iran katika mashambulizi ya anga dhidi ya Syria, na kusema kuwa vitendo vya kigaidi vya utawala huo kigaidi "havitapita bila jibu."
-
IRGC yasisitiza: Jinai ulizofanya utawala wa Kizayuni katu hazitaachwa bila kujibiwa
Apr 02, 2023 07:22Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesisitiza kuwa: bila ya shaka yoyote jinai za utawala bandia na mtenda jinai wa Kizayuni hazitaachwa bila kujibiwa; na utawala huo haramu utalipa gharama za jinai zake.
-
Shujaa wa Iran aunga mkono uamuzi wa serikali ya Indonesia wa kuzuia timu ya Israel kuingia mjini Jakarta
Apr 02, 2023 04:25Mshindi wa medali ya dhahabu katika Michezo ya Para-Asia 2018 mjini Jakarta ametoa medali yake kwa watu wa Indonesia ili kuunga mkono hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kuzuia timu ya soka ya Israel kuingia mjini Jakarta.
-
Msafara wa manowari za Iran watia nanga Afrika Kusini
Apr 01, 2023 05:52Msafara wa manowari za jeshi la majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umetia nanga katika mji wa bandari wa Cape Town nchini Afrika Kusini.
-
Ofisi ya Rais wa Iran: Marekani inapasa kuilipa Iran fidia ya uharibifu wa mali ndani ya miaka miwili
Apr 01, 2023 04:29Mkuu wa Kituo cha Masuala ya Kisheria ya Kimataifa cha Ofisi ya Rais wa Iran amesema Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ICJ imeamua kuwa serikali ya Marekani inapasa kufidia uharibifu iliousababisha dhidi ya Iran ndani ya kipindi cha miaka miwili, kutokana na kutwaa baadhi ya mali zake.
-
Utafiti: Waswahili wana asili ya Kiajemi; nusu ya mababu zao ni Wairani
Apr 01, 2023 03:28Utafiti wa chembe chembe za vinasaba unaonyesha kuwa, Waswahili wa Ukanda wa Pwani Afrika Mashariki wana asili ya Iran.
-
12 Farvardin (Aprili 1); Siku ya Jamhuri ya Kiislamu
Apr 01, 2023 03:25Leo Jumamosi tarehe 12 Farvardin, sawa na Aprili Mosi ni siku ya "Jamhuri ya Kiislamu", ambayo ni dhihirisho halisi la irada ya taifa kubwa la Iran katika kuthibitisha heshima na utukufu wa Uslamu pamoja na uamuzi wa wananchi wanamapinduzi wa Iran wa kujiainishia wenyewe hatima na mustakbali wa nchi yao.
-
Mkono wa pole kwa mnasaba wa kuaga dunia Bibi Khadija, mke mtukufu wa Mtume (saw)
Apr 01, 2023 01:23Tarehe 10 ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani Hijiria Qamaria, ambayo inasadifiana na tarehe Mosi Aprili 2023 ni siku ya kukumbuka kuaga dunia Bibi Khadija (sa) , mke mtukufu wa Mtume Muhammad (saw).
-
Mkurugenzi Mkuu wa ISESCO apongeza maadhimisho ya Siku ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Mar 31, 2023 23:36Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (ISESCO) ametoa mkono wa kheri na fanaka na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya tarehe 12 Farvardin ambayo ni Siku ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Russia mjini Moscow
Mar 31, 2023 10:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Russia huko Moscow kuhusu uhusiano na masuala mengine yanayozihusu pande mbili.