-
Hussein Amir-Abdolllahian: Oman ni jirani na rafiki wa kuaminika wa Iran
Mar 31, 2023 08:07Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Oman ni jirani na rafiki wa kuaminika wa Iran na kwamba, mashirikiano baina ya mataifa haya mawili yataongezeka na kuimarika zaidi.
-
ICJ: Marekani ilikiuka sheria ya kimataifa kuzuia mali za Iran, iilipe fidia
Mar 30, 2023 23:18Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) yenye makao yake mjini The Hague wamehukumu kuwa Marekani ilikiuka sheria za kimataifa kwa kuziruhusu mahakama za nchi hiyo kutaifisha mali zenye thamani ya takribani dola bilioni mbili kutoka kwa makampuni ya Iran, na kuiamuru Washington ilipe fidia, kiwango ambacho kitafahamika hapo baadaye.
-
Ershadi: Mabadiliko ya hali ya hewa ni mgogoro wa pamoja wa nchi zote
Mar 30, 2023 07:35Balozi na Naibu Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameeleza masikitiko yake kuhusu kutowajibika kwa nchi zilizoendelea katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kueleza kuwa, mabadiliko ya tabianchi ni mgogoro wa nchi zote duniani.
-
Iran na Russia zajadili mapatano ya kimkakati katika mazungmzo ya Moscow
Mar 29, 2023 07:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian ameelezea matumaini yake kuwa makubaliano ya kimkakati ya ushirikiano na Russia yatakamilika ndani ya "chini ya mwezi mmoja."
-
Amir-Abdollahian: JCPOA ni miongoni mwa maudhui tutakayoijadili katika mazungumzo na Russia
Mar 29, 2023 04:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema, watazungumzia na Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia makubaliano ya nyuklia ya JCPOA katika safari yake ya mjini Moscow.
-
Mapitio ya safari ya Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Qatar nchini Iran
Mar 28, 2023 08:12Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Qatar amefanya safari hapa mjini Tehran ambapo amekutana na kufanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Waziri wa Mashauri ya Kigeni na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran.
-
Amir Abdollahian: Mlango wa mazungumzo ya nyuklia hautabakia wazi milele
Mar 28, 2023 03:43Hossein Amir Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema rasimu ya mpango wa kuainisha kiwango cha mazungumzo ya nyuklia inajadiliwa katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) na kusisitiza kwamba mlango wa mazungumzo hayo hautabakia wazi milele.
-
Iran yalaani vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu Denmark
Mar 27, 2023 23:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani wimbi la kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na makundi yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia nchini Denmark na katika nchi nyingine za Ulaya.
-
Ripoti: Baadhi ya mashirika ajinabi yalihusika na mauaji ya polisi wa Iran
Mar 27, 2023 08:09Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran (HCHR) limechapisha ripoti mpya iliyofichua nafasi ya nchi za Magharibi na mashirika yao katika mauaji ya askari polisi wa Jamhuri ya Kiislamu wakati wa maandamano ya karibuni yaliyochochewa na mataifa hayo ya kibeberu hapa nchini.
-
Amir Abdullahian: Utambuzi wa sera za mambo ya nje zenye uwiano na diplomasia ya serikali uko katika njia sahihi
Mar 27, 2023 04:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, utambuzi wa sera za nje zenye kuwiana na diplomasia ya serikali uko katika mkondo sahihi.