-
Iran yalaani Marekani kuushambulia kijeshi mji wa Deir ez-Zor wa Syria
Mar 25, 2023 23:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi ya kichokozi na ya kigaidi ya jeshi la Marekani dhidi ya maeneo ya raia katika mji wa Deir ez-Zor nchini Syria.
-
Balozi wa Kenya Tehran akutana na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Iran
Mar 25, 2023 23:00Balozi wa Kenya mjini Tehran amefka katika Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambapo amekutana na katibu mkuu wa shirikisho hilo kabla ya mechi ya kirafiki kati ya timu za soka za Iran na Kenya.
-
Kanaani: Hasira za Netanyahu na Sunak kuhusu mabadiliko ya Asia Magharibi sio jambo ajabu
Mar 25, 2023 09:47Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuuri ya Kiislamu ya Iran, amejibu matamshi yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu na mwenzake wa Uingereza, Rishi Sunak dhidi ya Iran ya Kiislamu katika mkutano wao hapo jana na kueleza kwamba, si jambo la kushangazwa kutolewa matamshi kama hayo na mawaziri hao.
-
Iran na Oman zajadili kuondolewa vikwazo Tehran
Mar 25, 2023 03:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian amezungumza na mwenzake wa Oman, Badr Albusaidi kwa njia ya simu, na wawili hao wamejadili kuhusu hali ya sasa ya mazungumzo ya kuiondolea Jamhuri ya Kiislamu vikwazo vya kidhalimu.
-
Kan'ani aishauri Ufaransa: Badala ya kuibua machafuko katika nchi nyingine, sikilizeni sauti za watu wenu
Mar 24, 2023 22:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezungumzia habari iliyochapishwa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchomwa moto manispaa ya mji wa "Bordeaux", nchini Ufaransa na kusisitiza kwamba, badala ya kuibua machafuko katika nchi nyingine, Ufaransa inapaswa sikiliza sauti za watu wake na kujiepuke kutenda ukatili dhidi yao.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani inataka kuangamzia Uislamu
Mar 24, 2023 10:14Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amezungumzia njama zinazofanywa na Marekani kwa shabaha ya kuuangamiza Uislamu na Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran na kusema kuwa, Marekani daima inafanya mikakati ya kujaribu kupenya kwenye imani na fikra za watu kupitia njia za kipropaganda.
-
Iran: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Aleppo yanakiuka sheria za kimataifa
Mar 23, 2023 23:18Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani mashambulizi ya anga ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Aleppo (Halab) huko kaskazini mwa Syria na kusisitiza kuwa, uvamizi huo unakanyaga sheria za kimataifa, Hati ya Umoja wa Mataifa mbali na kuwa tishio kubwa kwa amani na uthabiti wa eneo la Asia Magharibi.
-
Kiongozi Muadhamu: Idadi ya wasomaji mahiri wa Qur'ani Tukufu imeongezeka sana nchini Iran
Mar 23, 2023 11:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, hii leo idadi ya wasomaji mahiri wa Qur'ani tukufu imeongezeka sana katika Jamhhuri ya Kiislamu ya Iran ikilinganishwa na kabla ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Raisi awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa kuanza Ramadhani
Mar 23, 2023 07:48Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za pongezi viongozi wa nchi za Kiislamu kwa kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Amir Abdollahian aishukuru Austria kwa kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya kuondoa vikwazo
Mar 23, 2023 04:06Hussein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumza kwa simu na Alexander Schallenberg Waziri wa Mambo ya Nje wa Austria na kupongeza kitendo cha Vienna cha kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya kuondoa vikwazo.