-
Jeshi la Iran laanza luteka kubwa ya kijeshi Lango Bahari la Hormuz, Bahari Hindi
Dec 29, 2022 23:04Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeanza mazoezi makubwa ya kijeshi katika eneo pana la kistratejia linaloanzia mashariki mwa Lango Bahari la Hormuz hadi katika ncha ya kaskazini mwa Bahari Hindi.
-
'Lengo la Marekani la kuivamia Afghanistan lilikuwa ni kuzidhibiti nchi jirani'
Dec 29, 2022 09:06Balozi wa Iran mjini Kabul Afghanistan amesema kuwa, lengo kuu la Marekani la kuivamia na kuikalia kwa mabavu Afghanistan halikuwa kupambana na ugaidi bali lilikuwa ni kuzidhibiti nchi zinazopakana na Afghanistan.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono ubunifu wa Oman
Dec 29, 2022 04:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Iran imeacha wazi dirisha ili kufikia mapatano lakini dirisha hilo halitasalia wazi siku zote. Amesema Iran inakaribisha na kuunga mkono ubinifu wa Mfalme wa Oman ili kufanyika ufatiliaji kwa lengo la kufikia mapatano mazuri, imara na endelevu.
-
Kan'ani: Kwa mtazamo wa Marekani na Ulaya, uhalifu wa Israel huko Palestina 'unastahili kuungwa mkono'
Dec 29, 2022 00:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani unafiki wa wazi wa Marekani na washirika wake wa Ulaya juu ya jinai za kutisha zinazofanywa na utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Meja Jenerali Salami: Adui alishindwa katika matukio ya hivi karibuni
Dec 28, 2022 23:21Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu akizungumzia machafuko ya hivi karibuni nchini Iran amesema, adui aliingia uwanjani kwa nguvu zake zote katika matukio ya hivi karibuni, lakini akashindwa vibaya.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na viongozi wakuu wa Oman
Dec 28, 2022 09:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana katika nyakati tofauti na Waziri wa Mambo ya Nje na Waziri wa Ofisi ya Mfalme wa Oman, wakajadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu masuala yenye maslahi kwa pande mbili.
-
Kan'ani: Kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni hakurejeshi utulivu na usalama Asia Magharibi
Dec 27, 2022 11:38Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema "kuanzishwa uhusiano kati ya nchi za Kiarabu na Kiislamu na utawala wa Kizayuni wa Israel hakutasaidia kuimarisha amani na usalama eneo la Asia Magharibi wala kudhamini haki za wananchi wa Palestina."
-
Raisi: Bibi Fatima (AS) ni kigezo na shakhsia mashuhuri mpenda mageuzi
Dec 27, 2022 04:44Rais wa Iran amemtaja Bibi Fatimatu-Zahra (SA), binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW kama kigezo cha mwanadamu na shakhsia mashuhuri aliyeleta mageuzi katika historia ya jamii ya wanaadamu.
-
Kiongozi Muadhamu ahudhuria maombolezo ya kumbukumbu ya kufa shahidi Bibi Fatima (SA)
Dec 26, 2022 23:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshiriki kikao cha maombolezo ya kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatimatu-Zahra (SA), binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Amirul Muuminin Ali bin Abi Talib (AS), Imamu wa kwanza wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
-
Kan'ani: Nchi za Magharibi zimepata hasara kwa kuunga mkono ghasia Iran
Dec 26, 2022 08:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Nasser Kan’ani, anasema nchi za Magharibi zilifanya mahesabu vibaya na zimepata hasara kwa kuunga mkono ghasi za hivi majuzi katika maeneo kadhaa ya Iran.