-
Rais wa Iran amtumia Papa Francis Salamu za Krismasi
Dec 26, 2022 08:31Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za pongezi kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Nabii Isa bin Maryam-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-na kuwadia mwaka mpya wa Miladia.
-
Nchi 80 kushiriki Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran
Dec 26, 2022 08:27Finali za Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Iran zitaanza katika mji mkuu wa Iran, Tehran, mnamo Februari 18, 2023.
-
Iran yaitumia salamu za rambi rambi serikali ya Afrika Kusini kufuatia mlipuko wa lori la gesi
Dec 26, 2022 00:50Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za pole na rambi rambi kwa serikali na wananchi wa Afrika Kusini kufuatia mlipuko wa lori la gesi ambao umesababisha vifo vya watu kadhaa.
-
Marekani yakataa kujibu barua ya maripota wa UN kuhusu vikwazo dhidi ya Iran
Dec 25, 2022 08:28Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa chini ya vikwazo vya upande mmoja vya Marekani kwa zaidi ya miaka 40. Kuwekwa vikwazo dhidi ya Iran katika kipindi cha uongozi wa Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani baada ya kujitoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuanzisha kampeni ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa, kumezidisha vikwazo visivyo na kifani vya nchi hiyo dhidi ya taifa la Iran.
-
Spika wa Bunge la Iran awatakia kheri Wakristo wanapoadhimisha Krismasi
Dec 25, 2022 07:14Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amewatumia ujumbe wa kheri Wakristo wa Iran na duniani kwa ujumla wakati huu wanapoadhimisha sherehe zao za Krismasi.
-
Wavuvi wa Kiirani waliotekwa na al-Shabaab waachiwa huru baada ya miaka 8
Dec 25, 2022 07:03Wavuvi 14 Wairani waliokuwa wanashikiliwa mateka na wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab nchini Somalia wamewasili hapa nchini Iran baada ya kuachiwa huru.
-
Iran yakaribisha pendekezo la Waziri Mkuu wa Iraq kuhusu mazungumzo kati ya Tehran na Cairo
Dec 25, 2022 04:09Hossein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza kuwa Waziri Mkuu wa Iraq alipendekeza katika Mkutano wa Baghdad-2 kuhusu suala la kufanyika mazungumzo kati ya Iran na Misri kuhusu masuala ya kisiasa na kiusalama.
-
Marandi: Nchi za Magharibi zinatoa madai ya uongo kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran
Dec 24, 2022 22:48Mshauri wa vyombo vya habari wa timu ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran amesema kuwa nchi za Magharibi zinadanganya kuhusu miradi ya kuzalisha nishati ya nyuklia nchini Iran, na amesisitiza kuwa Iran haina mpango wa kuzalisha silaha za nyuklia.
-
Jibu la Iran kwa tuhuma za kukaririwa na zisizo na msingi za Ukraine
Dec 24, 2022 22:46Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani tuhuma za kukaririwa na matamshi yasiyofaa ya Rais wa Ukraine katika Kongresi ya Marekani kuhusu Iran na kusema kwamba Zelensky anapaswa kujua kuwa subira ya kistratijia ya Iran kwa tuhuma zisizo na msingi haitaendelea milele bila ya kuwa ni kikomo.
-
Tovuti ya Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran yawekewa vikwazo na Wamagharibi kwa kusema ukweli
Dec 24, 2022 08:37Nchi za Magharibi zimeuwekea vikwazo mtandao wa parstoday.com ambao ndani yake inapatikana pia tovuti ya Idhaa ya Kiswahili Radio Tehran ii kuzuia kuwafikia walimwengu ukweli wa matukio tofauti na ikiwa ni muendelezo wa hatua zilizo kinyume kabisa na uhuru wa kutangaza na kujieleza.