-
Amir-Abdollahian: Iran iko tayari kuchukua hatua kufikia mapatano ya nyuklia
Dec 24, 2022 03:41Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuchukua hatua za mwisho za kufikia makubaliano ya nyuklia na kufuta vikwazo vya kidhalimu."
-
Iran na Guinea kupanua ushirikiano wao katika kilimo
Dec 24, 2022 02:44Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Guinea zimeazimia kuimarisha zaidi uhusiano wa pande mbili katika sekta ya kilimio ikiwa ni katika mkakati wa Iran wa kuendelea kuboresha zaidi ushirikiano na nchi za Afrika.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Ujahili wa kisasa unataka kuzika utambulisho wa wanawake
Dec 23, 2022 08:33Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, ujahili wa kisasa ukiongozwa na Marekani na Uzayuni wa kimataifa unafuatilia suala la kuzika utambulisho wa wanawake.
-
Iran: Mshikamano wa wananchi wetu umesambaratisha njama za maadui
Dec 23, 2022 03:31Waziri wa Usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mshikamano baina ya watu wa makabila, kaumu na madhehebu tofauti ni fakhari kubwa kwa Iran na kusisitiza kwamba, mshikamano huo ndani ya Iran ya Kiislamu ndio unaosambaratisha njama za maadui.
-
Iran: Rais wa Ukraine ajifunze kwa hatima ya viongozi walioitegemea US
Dec 22, 2022 23:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepuuzilia mbali madai yasiyokuwa na msingi kwamba Tehran imeipa Moscow ndege zisizo na rubani kwa ajili ya kuzitumia katika vita dhidi ya Ukraine na kusisitiza kuwa, Rais wa Volodymyr Zelensky wa Ukraine anapaswa kupata somo kutokana na hatima iliyowafika viongozi mbalimbali waliotegemea misaada ya Marekani.
-
Mkuu wa Jeshi la Iran: Israel haitastahamili jibu kali la Iran kwa kitendo chochote cha kiadui
Dec 22, 2022 07:50Mkuu wa Jeshi la Iran anapuuzilia mbali vitisho vya kijeshi vya Israel akisema utawala huo wa Kizayuni hauwezi kustahamili jibu la Iran kwa kitendo chochote cha kiuadui kitakachofanywa na utawala huo kutokana na mivutano ya kisiasa inayoukabili kutoka kwa ndani ya maeneo yanayokaliwa kwa mabavu.
-
Marekani yaiwekea vikwazo vipya Iran, vyajumuisha Mwendesha Mashtaka Mkuu
Dec 22, 2022 04:09Wizara ya Fedha ya Marekani imeiwekea Iran vikwazo vipya kwa kisingizio cha ukiukaji wa haki za binadamu, katika kuendeleza uingiliaji wake wa masuala ya ndani ya Iran na kutekeleza sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Tehran.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ajibu uropokaji wa Marekani katika Usiku wa Yalda
Dec 22, 2022 00:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter kujibu matamshi ya uropokaji yaliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani katika usiku wa Yalda na kueleza kwamba mtekelezaji wa vikwazo na mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya taifa la Iran anatokwa na machozi ya mamba Usiku wa Yalda kwa ajili ya Wairan.
-
Amir-Abdollahian: Saudi Arabia iko tayari kuendeleza mazungumzo na Iran
Dec 21, 2022 09:25Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Saudi Arabia iko tayari kuendeleza mazungumzo na Tehran.
-
Uungaji mkono wa Marekani kwa genge la ugaidi dhidi ya Iran unathibitisha zaidi madai ya uwongo ya Marekani kuhusu 'haki za binadamu'
Dec 21, 2022 04:02Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeilaani vikali Marekani kwa kumuunga mkono kiongozi wa genge la kigaidi la Mujahedin-e-Khalq (MKO) dhidi ya taifa la Iran, na sisitizo lake la kuendelea kushirikiana na magaidi na wauaji wa maelfu ya raia wa Iran.