-
Amir-Abdollahian: Uingiliaji wa Ufaransa katika masuala ya ndani ya Iran haukubaliki
Dec 21, 2022 03:58Akizungumza karibuni na Catherine Collona Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ufaransa, Hossein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekosoa hatua za nchi hiyo za kuingilia masuala ya ndani ya Iran.
-
Jenerali Qaani: Wamarekani si watu wa uwanja wa vita
Dec 21, 2022 00:51Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa mapambano au muqawama ni miongoni mwa kanuni zinazosisitizwa katika dini ya Kiislamu na kusema: "Wamarekani si watu wa medani ya vita na wameshindwa katika medani kuu."
-
Kiongozi Muadhamu: Shambulio la kigaidi la Shah Cheragh limeifedhehesha Marekani
Dec 20, 2022 07:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na familia za watu waliouawa shahidi katika shambulio ya kigaidi la Haram ya Shah Cheragh AS mjini Shiraz na kusema kuwa, shambulio hilo limeifedhehesha Marekani na kuonesha unafiki wao na roho zao mbaya.
-
Raisi: Jina la shahid Soleimani ni nembo ya mapambano dhidi ya ugaidi duniani
Dec 20, 2022 07:11Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika sherehe za kuadhimisha mwaka wa tatu wa tangu kuanza kurusha matangazo yake redio ya muqawama kwamba, leo hii jina la shahid Soleimani ni nembo ya muqawama na kusimama kidete katika kupambana na ugaidi ulimwenguni.
-
Iran: Marekani ikhitari diplomasia badala ya mashinikizo na vitisho
Dec 20, 2022 04:18Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema iwapo Marekani inataka kweli kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, haina chaguo jingine isipokuwa kukhitari njia ya diplomasia badala ya mashinikizo, vitisho na makabiliano.
-
Iran: Kufanyika Kombe la Dunia kwa mafanikio ni fakhari kwa nchi za Kiislamu
Dec 19, 2022 23:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kufanyika kwa mafanikio michuano ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar ni jambo la fakhari kwa nchi za Kiislamu.
-
Iran yavunja mtandao wa kijasusi wa Mossad uliolenga sekta yake ya ulinzi
Dec 19, 2022 07:38Wizara ya Intelijensia ya Iran imetambua na kuwatia mbaroni wanachama wa mtandao wa kijasusi waliokuwa wanapanga kuhujumu sekta ya ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kupitia mashirika na masoko yanayouza bidhaa za kiusalama.
-
Iran: Madai ya Marekani kuhusu kushiriki kwetu vita vya Ukraine hayana msingi wowote
Dec 18, 2022 23:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, madai ya Shirika la Kijasusi la Marekani kuhusu ushirikiano wa Iran na Russia na tuhuma zake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kuhusiana na vita vya Ukraine hayana msingi wowote, bali ni muendelezo tu wa vita vya kipropaganda vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Vikwazo vya Marekani ni chanzo cha matatizo ya wagonjwa wa thalassemia nchini Iran
Dec 18, 2022 06:50Mkuu wa Shirika la Chakula na Dawa la Iran amebaini kuwa, vikwazo ni sababu kuu ya matatizo kwa wagonjwa wa thalassemia nchini Iran
-
Urutubishaji wa urani wa Iran umefikia kiwango cha asilimia 60
Dec 18, 2022 06:36Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) anasema urutubishaji wa madini ya urani nchini sasa umefikia kiwango rasmi cha uhalisia wa asilimia 60 kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na Majlisi (bunge) mwezi Disemba 2020 inayotaka kuharakishwa maendeleo ya mpango wa nyuklia wa Iran wenye malengo ya amani.