-
Iran yataka makampuni ya Marekani na Ujerumani yafikishwe kizimbani kwa kumuuzia Saddam silaha za sumu
Nov 29, 2022 08:10Iran inasema makampuni ya Ujerumani na Marekani ambayo yalimpa dikteta wa zamani wa Iraq Saddam Hussein silaha za kemikali wakati wa vita vyake vya muongo 1980 dhidi ya Iran yanahusika katika jinai hiyo na hivyo lazima yafikishwe mahakamani.
-
IRGC yatoa pigo kwa idara ya ujasusi ya nchi yenye fikra mgando katika Ghuba ya Uajemi
Nov 29, 2022 04:28Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limemtia mbaroni ajenti wa idara ya ujasusi ya moja ya nchi zenye fikra mgando ya Ghuba ya Uajemi huko Bandar Lange.
-
Balozi wa Afrika Kusini akosoa vikwazo vya madola ya Magharibi dhidi ya Iran
Nov 28, 2022 23:54Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amekosoa kuendelea vikwazo vya madola ya Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kombe la Dunia, Iran yaipongeza Qatar, yasisitiza kuimarishwa uhusiano wa pande zote
Nov 28, 2022 23:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza Qatar kwa kuendesha vizuri mashindano ya Kombe la Dunia la mpira wa miguu 2022 na kusisitizia wajibu wa kuimarishwa uhusiano wa Tehran na Doha katika nyuga zote.
-
Amiri Jeshi wa vikosi vya ulinzi atilia mkazo kutumiwa uwezo na fursa adhimu za bahari
Nov 28, 2022 08:23Amiri Jeshi wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo kubadilishwa kuwa utamaduni wa watu wote nchini utumiaji uwezo na fursa adhimu za bahari zilizopo.
-
Nasser Kan'ani: Iran haitatoa ushirikiano wowote kwa 'tume ya kutafuta ukweli'
Nov 28, 2022 08:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa msimamo kuhusiana na azimio dhidi ya Iran la Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, na kueleza kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitatoa ushirikiano wowote kwa tume ya kisiasa iliyopewa jina la "tume ya kutafuta ukweli".
-
Iran yamtia mbaroni kinara wa chombo cha kigaidi cha 'Iran International'
Nov 28, 2022 04:36Vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimemtia mbaroni kinara wa chombo cha habari cha kigaidi kinachojiita 'Iran International' huko kaskazini magharibi mwa nchi.
-
Rais Raisi: Pwani ya Makran ni eneo la kistratijia kwa Iran
Nov 27, 2022 10:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria umuhimu wa Pwani ya Makran katika uchumi wa baharini na kusema: "Eneo hili linaweza kuwa eneo la kistratijia katika nchi".
-
Kamanda wa IRGC: Tutabadilisha fitina ya karibuni kuwa kaburi kwa Wamarekani na Waisraeli
Nov 27, 2022 09:58Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa leo Marekani, Uingereza, Israel na Saudia zimejitokeza katika medani lakini kwa yakini fitina hii kubwa walioanzisha, na vita hivi vya dunia walivyoibua vitabadilika na kuwa kaburi la maadui wakiwemo Wamarekani, Waisraeli na waitifaki wao.
-
Njama na hila za adui wa taifa la Iran za kulazimisha JCPOA 2 na JCPOA 3
Nov 27, 2022 09:28Baada ya Iran na nchi zilizounda kundi la 5+1 kufikia mwafaka Julai 2015 juu ya kadhia ya nyuklia ya Iran na kusaini Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, kwa kifupi JCPOA, nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani, -iwe ni baada ya kuanza kutekelezwa JCPOA mnamo mwaka 2016 au baada ya kujitoa Marekani kwenye makubaliano hayo Mei 2018, na hata katika kipindi cha sasa kufuatia duru kadhaa za mazungumzo ya Vienna ya uondoaji vikwazo vya kidhalimu-