-
Waziri Mkuu wa Iraq kufanya ziara Tehran Jumatatu
Nov 26, 2022 23:25Vyombo vya habari vya Iraq vimetangaza kuwa Mohammed Shia al Sudani Waziri Mkuu wa Iraq kesho Jumatatu atafanya ziara hapa mjini Tehran.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mapambano makuu ni dhidi ya ubeberu wa kimataifa
Nov 26, 2022 10:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema leo amehutubia hadhara kubwa ya wapiganaji wa kujitolea wa Basiji kwa mnasaba wa Siku ya Basiji ambako amesisitiza kuwa: Mapambano na mapigano makuu ni dhidii ya ubeberu wa kimataifa.
-
"Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ulibadilisha mlingano wa nguvu duniani"
Nov 25, 2022 23:28Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya jana hapa Tehran amesema Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ulibadilisha kabisa mlingano wa nguvu kieneo na kimataifa.
-
IRGC yaongeza wanajeshi katika mpaka wa magharibi wa Iran
Nov 25, 2022 23:04Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ametangaza habari ya kutumwa wanajeshi zaidi katika mipaka ya magharibi na kaskazini magharibi mwa Iran ili kupiga jeki operesheni za kukabiliana na makundi ya kigaidi yanayotaka kujitenga yaliyoko katika eneo la Kurdistan nchini Iraq.
-
Uungaji mkono wa Marekani kwa makundi yanayotaka kujitenga ya Iran
Nov 25, 2022 23:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imelaani operesheni za kijeshi Iran dhidi ya makundi ya kigaidi ya Wakurdi wanaotaka kujitenga yaliyoko kaskazini mwa Iraq na imeitaka Tehran kusitisha mashambulizi hayo.
-
Kombe la Dunia: Iran yaichapa Wales 2-0 na kuhuisha matumaini ya kusonga mbele
Nov 25, 2022 09:28Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iimeichapa Wales mabao 2 kwa 0 katika fainali za mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar.
-
Iran yapongeza misimamo ya Namibia ya kuliunga mkono taifa la Palestina
Nov 25, 2022 06:37Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu amesifu misimamo ya Namibia ya kuliunga mkono taifa la Palestina na kusisitizia malengo ya pamoja ya Tehran na Windhoek.
-
Amir-Abdolahian: Ujerumani kwa miaka mingi inavunja haki za binadamu
Nov 24, 2022 23:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai yasiyo na msingi ya waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani aliyoyatoa katika kikao maalumu cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa mataifa na kusema kwamba, kwa miaka mingi Ujerumani inavunja haki za binadamu.
-
Raisi: Ustawi wa Iran unawaghadhabisha maadui
Nov 24, 2022 08:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ustawi na maendeleo yanayoshuhudiwa hapa nchini yamewakasirisha mno maadui wa taifa hili.
-
Iran ni ya 10 duniani kwa kuzalisha magari madogo; yazipiku Uingereza na Ufaransa
Nov 24, 2022 04:05Shirikisho la watengeza magari barani Ulaya limeitangaza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa taifa la kumi duniani kwa kuzalisha na kutengeneza magari madogo.