-
Mkusanyiko wa mamilioni ya watu wa Iran; kufukuzwa wafanyaghasia na Umma wa Mtume Mtukufu (saw)
Sep 27, 2022 04:11Wananchi wa mikoa tofauti ya Iran siku ya Jumapili, ambayo ilisadifiana na siku ya kukumbuka kifo cha Mtukufu Mtume (saw) na mkuu wake Imam Hassan Mujtaba (as), walifanya mkusanyiko wa mamilioni ya Umma wa Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw), ambapo walilaani vikali machafuko ya hivi karibuni nchini na pia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Bagheri Kani: Wanaowekea dawa vikwazo kivipi wana wasiwasi kuhusu haki za binadamu nchini Iran
Sep 27, 2022 01:13Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisiasa amesisitiza wale wote wanaoziwekea dawa vikwazo iweje wana wasiwasi kuhusu haki za binadamu hapa nchini.
-
Kan'ani Chafi: Wanaojifanya watetezi wa haki za wananchi wa Iran wakomeshe vikwazo vyao vya miongo kadhaa
Sep 26, 2022 07:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: wanaojidai kutetea haki za wananchi wa Iran wanapaswa waweke kando nara zao hizo za uongo na zilizochakaa, na badala yake wahitimishe vikwazo vya kidhalimu na vilivyo dhidi ya ubinaadamu walivyoliwekea taifa la Iran kwa miongo kadhaa.
-
Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya awaunga mkono wafanya fujo nchini Iran
Sep 26, 2022 04:35Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ametangaza kuyaunga mkono makundi machache ya wananchi wa Iran wanaofanya fujo na kuharibu mali za umma na za watu binafsi kwa madai ya kulalamikia kifo cha Mahsa Amini binti wa Kiirani aliyeaga dunia hivi karibuni.
-
Mabalozi wa Uingereza na Norway waitwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
Sep 26, 2022 00:05Balozi wa Uingereza mjini Tehran ameitwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kutokana na propaganda za kiuadui zinazofanywa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na vyombo vya habari vya lugha ya Kifarsi vya serikali ya London.
-
Amir-Abdollahian: Mwarubaini wa uvamizi Palestina ni kuitishwa kura ya maoni
Sep 25, 2022 06:33Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tatizo la uvamizi na mzozo mkongwe katika Asia Magharibi litatuliwa kwa kutekelezwa ubunifu wa kidemokrasia wa Iran na kuitishwa kura ya maoni huko Palestina.
-
Iran ya Kiislamu imo kwenye maombolezo ya kufariki dunia Mtume Muhammad SAW
Sep 25, 2022 03:38Iran ya Kiislamu hivi sasa imo kwenye maombolezo makubwa ya kukumbuka kufariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW na kuuawa shahidi mjukuu wake, Imam Hassan al Mujtaba AS ambaye ni Imam wa Pili wa Waislamu wa madhehebu ya Kishia.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonana na mawaziri wenzake wa Uganda, Eritrea na Imarati
Sep 25, 2022 03:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alionana kwa nyakati tofauti na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Uganda, Eritrea na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kubadilishana nao mawazo kuhusu masuala ya kieneo na kimataifa. Mazungumzo ya mawaziri hao yamefanyika mjini New York, Marekani.
-
Kan'ani Chafi: Iran haitasita hata kidogo kutoa jibu kwa uchokozi wowote ule
Sep 24, 2022 23:37Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitasita hata kidogo kutoa jibu kwa uchokozi wowote ule.
-
Rais Raisi asisitiza ulazima wa kuwachukulia hatua kali wavurugaji usalama na utulivu wa nchi
Sep 24, 2022 10:45Rais Ebrahim Raisi amezungumza na familia ya Shahidi Mohammad Rasool Dust Mohammadi na kusisitiza ulazima wa kuwachukulia hatua kali wavurugaji usalama na utulivu wa nchi.