-
Nafasi ya vikundi vya kifalme na vyombo vya habari vinavyopingana Uislamu katika machafuko ya sasa nchini
Sep 24, 2022 03:55Katika siku za hivi karibuni, miji mbalimbali ya Iran imeshuhudia ukosefu wa usalama ambapo mkono wa waungaji mkono wa mfumo wa utawala wa kifalme na vyombo vya habari vya upinzani unaonekana wazi.
-
Iran yajibu matamshi ya kifidhuli ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani
Sep 24, 2022 03:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametumia mtandao wa kijamii wa Twitter kujibu matamshi ya kifidhuli ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani aliyejipa uthubutu wa kukosoa kile alichodai ni haki za binadamu nchini Iran.
-
Iran: Licha ya kwamba tuko chini ya mashinikizo makubwa, lakini tunaendelea kuhifadhi wakimibizi wengi
Sep 24, 2022 03:26Mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye pia ni mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu katika kikao cha 46 cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa "Kundi la 77+China" amesisitiza kuwa, Iran itaendelea kuwapa hifadhi wakimibizi licha ya vikwazo ilivyowekwa kwa miongo mingi sasa.
-
Ebrahim Raisi: Maadui walifanya njama kuzuia isiwafikie walimwengu sauti ya taifa la Iran
Sep 23, 2022 23:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, maadui walifanya njama kubwa za kuzuia kuwafikia walimwengu sauti ya taifa la Iran wakati wa ziara yake mjini New York Marekani alikohutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Kupungua ushawishi wa mfumo wa kambi moja; ulimwengu unakaribia kuingia katika mpangilio mpya wa utawala
Sep 23, 2022 23:03Akizungumza karibuni katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Tumekusanyika hapa leo katika hali ambayo tunakabiliwa na ukweli muhimu, yaani, "kugeuka na kubadilika ulimwengu" na kuingia katika "zama na mfumo mpya."
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: "Adui anachochea machafuko;" maandamano ya kulaani fujo yafanyika kote nchini
Sep 23, 2022 08:45Wananchi wa Tehran na wa maeneo mengine yote ya Iran leo baada ya Sala za Ijumaa, wameshiriki kwa wingi katika maandamano makubwa ya kulaani magenge ya wanaofanya fujo, kuchoma mali za uma, kuvunjia heshima matukufu ya kidini na kijamii ya wananchi wa Iran.
-
Abdollahian: Makubaliano yanaweza kufikia iwapo Marekani itaonesha nia njema
Sep 23, 2022 07:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameonana na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Norwah na kuzungumza naye kuhusu njia za kuondolewa vikwazo vya kidhulma ilivyowekewa na Jamhuri ya Kiislamu baada ya Marekani kujitoa kwenye mapatano ya JCPOA.
-
Kan'ani: Kukimbia kusikiliza uhakika wa mambo hakuusaidii kitu utawala wa kibaguzi wa Israel
Sep 23, 2022 06:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kitendo cha utawala wa kibaguzi wa Israel cha kutoka kwenye ukumbi wa mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wakati Rais wa Iran alipokuwa anahutubia, hakiusaidii kitu utawala huo pandikizi.
-
Rais Raisi aondoka New York na kurejea Tehran
Sep 23, 2022 04:26Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Ijumaa ameondoka jijini New York, Marekani na kuelekea Tehran baada ya kushiriki katika Mkutano wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuanza Wiki ya Kujihami Kutakatifu
Sep 22, 2022 23:14Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kwa mnasaba wa kuanza Wiki ya Kujihami Kutakatifu ambapo amesisitiza kuwa: huu ni ujumbe wa Mashahidi yaani kusimama kidete dhidi ya mashetani hatimaye kunapelekea ushindi na kuhitimisha khofu na huzuni.