-
Rais wa Iran katika mkutano na Rais wa Finland: Wamagharibi wana undumakuwili kuhusu haki za binadamu
Sep 22, 2022 06:42Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na Rais wa Finland Sauli Niinistö na kusema undumakuwili wa madola ya Magharibi katika masuala ya haki za binadamu ni ukiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadmau.
-
Iran yazindua kombora la balistiki la Ridhwan katika 'Wiki ya Kujihami Kutakatifu'
Sep 22, 2022 06:02Kombora la balistiki la nchi kavu kwa nchi kavu lijulikanalo kama 'Ridhwan' la Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limezinduliwa katika gwaride la maadhimisho ya miaka 42 ya Wiki ya Kujihami Kutakatifu nchini Iran ambalo limefanyika katika Haram Takatifu ya Imam Khomeini MA mjini Tehran.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu asisitiza kuendelea njia ya mapambano dhidi ya maadui
Sep 22, 2022 04:32Akizungumza hivi karibuni katika shehere ya kuwaenzi maveterani wa vita vya kujitetea kutakatifu, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kwamba ilithibitika wazi katika kipindi cha vita vya kujitetea kutakatifu kwamba ulinzi wa nchi na kuzuia vitisho vya adui hakutimii kwa kusalimu amri, bali kwa kusimama imara na kudumisha mapambano.
-
Iran yaanza kuadhimisha Wiki ya Kujihami Kutakatifu
Sep 22, 2022 04:17Maadhimisho ya miaka 42 ya Wiki ya Kujihami Kutakatifu nchini Iran yameanza leo asubuhi katika jiji la Tehran na miji mingine ya taifa hili.
-
Ebrahim Raisi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono kuweko dunia yenye uadilifu
Sep 21, 2022 23:57Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kislamu ya Iran amesisitiza kuweko uadilifu duniani na kubainisha kuwa, Iran inataka kuweko hatima na mustakabali wa pamoja kwa ajili ya mwanadamu na kwamba, inaunga mkono kuweko dunia yenye uadilifu ndani yake.
-
World Islamic Peace Forum: Nchi zote zinapasa kujiunga na Muungano wa Amani Duniani
Sep 21, 2022 22:40Jukwaa la Kimataifa la Kiislamu la Amani limetangaza kuwa nchi zote zinapaswa kujiunga na muungano wa amani wa kimataifa kwa ajili ya mazungumzo ya pamoja duniani.
-
Meja Jenerali Safavi: Vita vya kulazimishwa vya Iraq dhidi ya Iran viliweza kutabirika lakini havikuweza kuzuiwa
Sep 21, 2022 22:37Msaidizi na Mshauri mwandamizi wa Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vita vya kulazimishwa vilivyoanzishwa na Iraq dhidi ya Iran viliweza kutabirika lakini haikuwezekana kuzuiwa.
-
Kiongozi Muadhamu: Vita vya kulazimishwa vya Iraq dhidi ya Iran vilikuwa ni matokeo ya siasa za kimkakati za mfumo wa kibeberu
Sep 21, 2022 09:07Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vita vya kulazimishwa vya Iraq dhidi ya Iran vilikuwa ni matokeo ya siasa za kimkakati za mfumo wa kibeberu katika uadui wake dhidi ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na taifa la Iran.
-
Sura halisi ya Mapinduzi ya Kiislamu, sababu kuu ya vikwazo dhidi ya Iran
Sep 21, 2022 03:56Alena Douhan, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesambaza rasmi ripoti yake kuhusu athari za vikwazo vya Marekani kwa wananchi wa Iran na kusema kuwa, vikwazo hivyo vipo na vimeendelea kuwepo tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Mikusanyiko ya upinzani katika baadhi ya miji na vyuo vikuu imechochewa na vyombo vya habari vya nje na mamluki waliojipanga
Sep 21, 2022 03:36Wakati wananchi wengi wa Iran wameguswa na kusikitishwa na kifo cha Mahsa Amini na hivi sasa wanasubiri kutangazwa matokeo ya uchunguzi wa sababu ya kifo chake, imefanyika mikusanyiko ya malalamiko na upinzani katika baadhi ya miji ukiwemo wa Tehran ambayo imesababisha uharibifu wa mali za umma.