-
Rais wa Iran: Sitakutana na Biden katika mkutano wa UN, New York
Sep 17, 2022 23:21Rais wa Iran amesema hana mpango wa kukutana au kufanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani, Joe Biden katika safari yake ya New York, anayotazamiwa kwenda kushiriki Mkutano wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA).
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Matembezi ya Arubaini ni ishara ya irada ya Mwenyezi Mungu kuinua juu bendera ya Uislamu
Sep 17, 2022 07:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelitaja tukio la kimiujiza la maandamano na matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (as) kuwa ni ishara ya irada ya Mwenyezi Mungu ya kunyanyua juu bendera ya Uislamu ya Ahlul Bayt.
-
Hatua za upande mmoja za Marekani; lengo ni kuyabakisha nyuma kimaendeleo mataifa ya dunia
Sep 17, 2022 07:00Mkutano wa 22 wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) umefanyika nchini Uzbekistan na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekubaliwa na kuwa mwanachama rasmi wa jumuiya hiyo.
-
Rais Raisi: Safari ya Samarkand ni hatua iliyolenga kuimarisha uhusiano wa kikanda
Sep 16, 2022 22:22Rais Ebrahim Raisi amesema safari ya Uzbekistan ilifanyika kwa lengo la kuimarisha sera ya ujirani na kustawisha uhusiano wa kikanda.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Muqawama wa Palestina na Yemen ni muendelezo wa mapambano ya Ashura
Sep 16, 2022 08:38Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa, muqawama wa Palestina na Yemen ni muendeleza wa mapambano ya Ashura katika jangwa la Karbala mwaka 61 Hijria.
-
Rais Raisi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitalegeza msimamo mbele ya ubabe wa Marekani
Sep 16, 2022 06:59Rais Ebrahim Raisi amesema, mashirikiano ya kistratijia ya Iran na China ni ishara ya irada ziliyonayo nchi mbili ya kustawisha uhusiano wao katika pande zote na akasisitiza kwamba: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitalegeza msimamo mbele ya ubabe wa Marekani.
-
Iran: Utawala haramu wa Israel siku zote umekuwa tishio dhidi ya amani na usalama wa kimataifa
Sep 16, 2022 03:12Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, misingi ya utawala wa kibaguzi wa Israel imejengeka juu ya uvamizi na tishio kwa amani na usalama wa dunia.
-
Rais Putin: Kampuni kubwa 80 za Russia kwenda Iran wiki ijayo
Sep 15, 2022 23:37Rais Vladmir Putin wa Russia amesema Moscow imefanya kila iwezalo kuhakikisha kuwa Iran inakua mwanachama kamili wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO).
-
Kurejea balozi wa Imarat nchini Iran baada ya miaka 7; sisitizo la Abu Dhabi la kuimarisha ushirikiano na Tehran
Sep 15, 2022 05:35Balozi wa Imarati amerejea hapa Tehran baada ya kupita miaka saba ambapo katika mazungumzo yake na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran amesisitizia suala la kukuzwa na kuimarishwa uhusiano baina ya pande mbili.
-
Wagonjwa maalumu wa Kiirani; mateka wa vikwazo na uchu wa kisiasa wa Marekani
Sep 14, 2022 08:27Alena Douhan, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu taathira hasi za vikwazo vya upande mmoja dhidi ya haki za binadamu amewasilisha rasmi ripoti kuhusu athari za vikwazo dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa vikwazo hivyo vimesababisha changamoto kubwa kwa ununuzi wa dawa za matibabu khususan kwa wagonjwa maalumu na wale wenye maradhi nadra nchini Iran.