-
Iran: Muafaka utapatikana Marekani ikizingatia uhalisia wa mambo
Sep 14, 2022 03:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, ikiwa Marekani itazingatia uhalisia wa mambo, basi makubaliano mazuri, imara na ya kudumu yanaweza kufikiwa kwa uungaji mkono wa pande zote katika mazungumzo ya Vienna.
-
Msemaji wa AEOI: Madai ya IAEA kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran hayana msingi wa kisheria
Sep 13, 2022 21:48Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema: ombwe la usimamizi ambalo Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA linadai kuwepo katika mpango wa amani wa nyuklia wa Iran halina msingi wowote wa kisheria.
-
Amir Abdollahian: Serikali shirikishi ya makabila yote ni msingi muhimu wa amani Afghanistan
Sep 13, 2022 03:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa kuundwa serikali jumuishi ya makabila na kaumu zote huko Afghanistani ni muhimu kwa ajili ya kupatikana amani na utuulivu nchini humo.
-
Kanani: Iran inaunga mkono kuendelezwa mchakato wa kusitisha mapigano huko Yemen
Sep 12, 2022 22:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran inaunga mkono kuendelezwa na kuimarishwa mchakato wa kusitisha mapigano nchini Yemen.
-
Ripota Maalumu wa UN: Kuna udharura wa kukomesha vikwazo dhidi ya Iran
Sep 12, 2022 10:43Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amechapisha ripoti yake rasmi kuhusu ulazima wa kukomesha vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Iran.
-
Iran: Tuko tayari kuendelea kushirikiana ipasavyo na IAEA
Sep 12, 2022 03:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa nchi tatu za Ulaya za Uingereza, Ujerumani na Ufaransa zinapaswa kurekebisha misimamo yao, zifuate njia sahihi ya mazungumzo hayo na ziangalie mambo katika uhalisia wake.
-
Amir-Abdollahian: Iran daima itaendelea kuwa pamoja na wananchi wa Yemen
Sep 11, 2022 22:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu daima itaendelea kuwa pamoja na wananchi wa Yemen.
-
Iran yaitaka Troika ya Ulaya kutofuata njia ya utawala haramu wa Israel
Sep 11, 2022 00:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taarifa iliyotolewa na Troika ya Ulaya inayojumuisha mataifa ya Uingereza, Ujerumani na Ufaransa kuhusiana na mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA na kutoa tuhuma dhidi ya Tehran haijengi na ni kinyume kabisa na nia njema.
-
Spika wa Bunge la Iran: Maadui wanavigeuza vita vya Yemen kuwa vita vya kiuchumi
Sep 10, 2022 08:36Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema, maadui wanavigeuza vita vya Yemen kuwa vita vya kiuchumi.
-
Ndege za Russia zinafanyiwa ukarabati nchini Iran
Sep 09, 2022 03:36Ndege za abiria za Russia zinakarabatiwa nchini Iran huku uhusiano wa nchi hizi mbili jirani ukizidi kuimarika ili kukabiliana na vikwazo vya vya Marekani.