-
Jeshi la Iran lafanya mazoezi makubwa ya nchi kavu, anga na makombora
Sep 09, 2022 03:31Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kimefanikiwa kutekeleza operesheni za kivita na kurusha makombora yaliyoundwa ndani ya nchi wakati wa mazoezi makubwa ya kijeshi katika mkoa wa kati wa Isfahan.
-
Iran inajitosheleza katika kuunda ndege zisizo na rubani (droni)
Sep 08, 2022 22:13Kamanda wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran inajitosheleza katika uundaji wa ndege zisizo na rubani (droni).
-
Iran yatoa jibu kwa taarifa ya kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Sep 08, 2022 06:47Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vipengee vya taarifa ya kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mazoezi ya vikosi vya nchi kavu vya jeshi; maonyesho ya nguvu na uwezo wa Iran ya Kiislamu
Sep 08, 2022 04:53Mazoezi ya Uwezo 1401 ya jeshi la Iran yanafanyika kwa muda wa siku mbili kwa lengo la kutathmini na kuboresha kiwango cha nguvu na utayari wa kupambana wa Jkikosi cha Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na vitisho tarajiwa.
-
Baraza la Wanazuoni Wataalamu: Palestina ndio kadhia ya kwanza ya ulimwengu wa Kiislamu
Sep 07, 2022 22:47Baraza la Wanazuoni Wataalamu linalomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kusimamia kazi zake limesisitiza kuwa, Palestina ndio kadhia ya kwanza katika ulimwengu wa Kiislamu kama ilivyo pia suala la Beitul-Muqaddas.
-
Kutoridhishwa Josep Borell na mwenendo wa mazungumzo ya Vienna; sisitizo la Iran la kuondolewa utata
Sep 07, 2022 21:38Mshauri wa timu ya mazungumzo ya Iran katika mazungumzo ya Vienna amesisitiza kuwa Iran haitakubali mianya na utata kuhusiana na mazungumzo hayo.
-
Kamanda wa Majeshi ya Iran aonya jeshi la kigaidi la Marekani na Israel
Sep 07, 2022 06:22Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri ametoa onyo kali na kusema ushirikiano wa jeshi la kigaidi la Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel pamoja na waitifaki wao waliowapa vituo vya kijeshi ni tishio kwa usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Salami: Maamuzi ya Iran yanaathiri uchaguzi wa Marekani
Sep 06, 2022 21:53Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema maamuzi ya kisiasa ya Jamhuri ya Kiislamu yana taathira na nafasi kubwa katika chaguzi za Marekani.
-
Iran: Tutaendelea na siasa za kustafidi na teknolojia mpya ikiwemo ya nyuklia
Sep 06, 2022 06:17Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuimarishwa vinu vya atomiki na uzalishaji wa umeme wa nguvu za nyuklia ni katika malengo ya kutumia Iran haki yake ya kufaidika na tenkonolojia hiyo ya kisasa na lengo lake kwa sasa ni kuongeza matumizi ya umeme wa nyukia kwa asilimia 20.
-
Marandi: Iran haitakubali mianya na utata kuhusiana na mazungumzo ya Vienna
Sep 06, 2022 03:27Mshauri wa timu ya Iran katika mazungumzo ya Vienna amesisitiza kuwa Iran haitakubali mianya na utata kuhusiana na mazungumzo hayo.