-
Marandi: Iran haitakubali mianya na utata kuhusiana na mazungumzo ya Vienna
Sep 06, 2022 03:27Mshauri wa timu ya Iran katika mazungumzo ya Vienna amesisitiza kuwa Iran haitakubali mianya na utata kuhusiana na mazungumzo hayo.
-
Waziri wa Afya wa serikali ya Taliban ya Afghanistan yupo ziarani nchini Iran
Sep 05, 2022 21:45Waziri wa Afya wa Serikali ya Taliban ya Afghanistan yupo ziarani hapa nchini Iran akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa serikali hiyo.
-
Iran: Tuko tayari kuitatulia Ulaya matatizo yake ya nishati
Sep 05, 2022 06:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imehifadhi hisa yake katika soko la nishati licha ya vikwazo, lakini inaweza kuwa na mchango mkubwa katika kupatia suluhu mgogoro wa niashati unaolikabili bara Ulaya.
-
Amir Abdollahian: Usalama wa Yemen una athari ya moja kwa moja katika usalama wa Ghuba ya Uajemi
Sep 05, 2022 02:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir Abdollahian amesema katika mazungumzo yake na Hans Grundberg, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen kwamba usalama wa Yemen una taathira za moja kwa moja katika amani na usalama wa eneo na Ghuba ya Uajemi.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kurejeshwa nyuma na Iran Uistikbari wa dunia
Sep 04, 2022 05:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ikipata ilhamu ya Ahlul-Beiti (as) iliyashinda na kuyarejesha nyuma majoka yenye vichwa saba ya Uistikbari na ikasonga mbele kimaendeleo.
-
Iran: Nguvu zetu za kijeshi na kiulinzi si kitu cha kujadiliwa kabisa
Sep 03, 2022 22:07Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Jeshi la Iran amesema kkuwa, nguvu za kiulinzi za Jamhuri ya Kiislamu si kitu cha kujadiliwa kabisa na kusisitiza kuwa, Iran itaendelea kuimarisha nguvu zake za kiulinzi kwa kiwango chochote inachokiona kinafaa.
-
Kiongozi Muadhamu: Jamhuri ya Kiislamu ilirejesha nyuma majoka yenye vichwa saba ya Uistikbari
Sep 03, 2022 07:04Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ikipata ilhamu ya Ahlu-Beiti (as) iliyashinda na kuyarejesha nyuma majoka yenye vichwa saba ya Uistikbari na ikasonga mbele kimaendeleo.
-
Jeshi la Wanamaji la Iran lakamata boti za Jeshi la Marekani katika Bahari ya Sham
Sep 03, 2022 03:21Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limesema limekamata boti za Jeshi la Majini la Marekani zinazojiendesha bila wahudumu katika Bahari Sham na kubaini kuwa hatu hiyo imechukuliwa kama njia ya kuzuia ajali za baharini katika njia ya kimataifa ya meli.
-
Amir-Abdollahian: Sera ya Mambo ya Nje ya Iran imejengeka katika msingi wa uhuru, amani
Sep 02, 2022 23:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mazungumzo na utendaji wa Jamhuri ya Kiislamu katika siasa za nje umejengeka katika msingi wa uhuru, kujitegemea, amani na heshima.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa: Mkusanyiko wa Arubaini hauna mfano wake duniani
Sep 02, 2022 07:41Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa hapa Tehran hii leo amesema, Arubaini ya Imam Hussein (AS) ndio mkusanyiko mkubwa zaidi wa wanadamu, na ambao ni wa aina yake na usio na mfano wake duniani.