-
Marandi: Wakati umefika Biden afanye maamuzi magumu
Sep 02, 2022 07:39Mshauri wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna amesema kuwa, wakati umefika kwa utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani kuchukua maamuzi magumu juu ya kuhuishwa makubaliano yanayotarajiwa kufikiwa kuhusiana na kuondolewa vikwazo Iran.
-
Iran: Matukio ya karibuni ya Ukraine ni matunda ya uingiliaji wa Marekani
Sep 02, 2022 03:19Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa, Marekani na nchi za Magharibi zinataka kutekeleza siasa zao za kibeberu katika maeneo yote hassasi na ya kiistratijia duniani na kwamba matukio ya Ukraine ni matunda ya mtazamo huo wa kiistikbari wa Magharibi.
-
Iran: Tumeshakabidhi mitazamo yetu kwa mpatanishi kuhusu mazungumzo ya nyuklia
Sep 01, 2022 22:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu usiku wa kuamkia leo Ijumaa imekabidhi mitazamo yake kuhusu majibu ya Marekani juu ya muswada wa makubaliano yanayotarajiwa kufikiwa kuhusiana na kuondolewa vikwazo Iran na amesisitiza kuwa, mitazamo hiyo ya Tehran ni ya maana, ya kimsingi na yenye lengo la kufikisha mwisho mazungumzo hayo.
-
Meja Jenerali Salami: Majeshi ya Iran yako tayari kujibu vitisho vya maadui
Sep 01, 2022 06:33Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema mafanikio ya sekta ya ulinzi ya Iran ni ya ajabu, yenye kuonyesha nguvu na yenye uwezo wa kumzuia adui huku akisisitiza kuwa: "Vikosi vya kijeshi vya Iran viko tayari kujibu vitisho vya adui."
-
Rais Raisi: Ahul Bayt AS ni siri ya Umoja wa Kiislamu
Sep 01, 2022 06:14Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Ahul Bayt AS- yaani watu wa nyumba ya Mtume Muhammad SAW, ni ufunguo wa Umoja wa Kiislamu na chimbuko la matumaini katika jamii ya mwanadamu.
-
Mapitio ya barua ya kihistoria ya Imam Khomeini (MA) kwa Gorbachev
Sep 01, 2022 05:45Mikhail Gorbachev, kiongozi wa mwisho wa Muungano wa Jamhuri za Kisoshalisti za Sovieti (Union of Soviet Socialist Republics, USSR) alifariki dunia Jumanne usiku katika hospitali moja mjini Moscow, Russia akiwa na umri wa miaka 91 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
-
IRGC ya Iran yaeleza ilivyotwaa na kuachia huru droni ya Marekani
Sep 01, 2022 03:07Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa maelezo ya kina kuhusu namna lilivyoteka na kisha kuachia huru ndege isiyo na rubani ya baharini ya Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Sisitizo la Iran la kufanyika mazungumzo kati ya makundi ya kisiasa ya Iraqi kwa ajili ya kutatuliwa mzozo uliopo
Aug 31, 2022 21:57Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imetoa tamko kuhusiana na matukio ya hivi laribuni nchini Iraq na kusisitiza kuwa: "Tehran daima inataka Iraq yenye utulivu, salama na yenye nguvu."
-
Iran yaipongeza Iraq kwa kutumia hekima kuhitimisha ghasia
Aug 31, 2022 03:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewapongeza wananchi wa Iraq kwa kutumia hekima kukabiliana na jaribio la uasi lililosababisha ghasia na fujo nchini humo.
-
Iran na Russia kujadili Ukraine na JCPOA mjini Moscow
Aug 30, 2022 23:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema lengo kuu la safari yake mjini Moscow ni kujaribu kutatua mgogoro wa Ukraine.