-
Kiongozi Muadhamu: Wananchi wamekuwa mashujaa wakuu katika matukio yote ya Mapinduzi
Aug 30, 2022 06:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: katika matukio yote yaliyojiri, wananchi wamekuwa ndio "mashujaa wakuu wa historia ya Mapinduzi" na ukweli huo unatoa somo na mazingatio na kuwaonyesha viongozi wote ni namna gani inapasa waamiliane na wananchi hao.
-
Iran: Ufaransa ndiyo inayovuruga zaidi mazungumzo ya nyuklia
Aug 30, 2022 03:30Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amezungumzia mafanikio ya Iran katika uga wa teknolojia ya nyuklia na kusisitiza kuwa: Ufaransa ndiyo inayovuruga zaidi mazungumzo ya nyuklia.
-
Raisi: Kuimarishwa uhusiano wa Saudi Arabia na Iran ni kwa maslahi ya usalama wa eneo
Aug 30, 2022 03:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ubunifu na hatua za Iraq katika kuboresha ushirikiano baina ya nchi za eneo bila uingiliaji wa madola ajinabi ni jambo ambalo limekuwa na taathira na kuongeza kuwa: "Kurekebishwa na kuimarishwa uhusiano wa Iran na Saudi Arabia ni kwa maslahi ya usalama wa eneo."
-
Nchi 47 zinanunua bidhaa za "nanoteknolojia" za Iran
Aug 30, 2022 03:17Taarifa ya Makao Makuu Maalum kwa ajili ya Maendeleo ya Nanoteknolojia nchini Iran imesema Bidhaa za "nanoteknolojia" za Iran sasa zitauzwa katika nchi 47 ambazo zimetuma maombi ya kupokea bidhaa hizo.
-
Raisi: JCPOA itafufuliwa kwa kusuluhishwa masuala yaliyosalia
Aug 29, 2022 06:59Rais Ebrahim wa Raisi wa Iran amesema mapatano ya kufufua makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yatafikiwa tu kwa kupatiwa ufumbuzi masuala yaliyosalia baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.
-
Iran na Oman zajadili mapatano ya kuondolewa Tehran vikwazo
Aug 29, 2022 06:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inatathmini kwa kina jibu la serikali ya Marekani kuhusu masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya kuliondolea vikwazo taifa hili.
-
Iran: Tuko tayari kuzipa nchi nyingine uzoefu wetu wa kupambana na vikwazo kwa miongo minne
Aug 29, 2022 02:59Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuzipa nchi nyingine rafiki, uzoefu wake wa kukabiliana na vikwazo kwa zaidi ya miaka 40 na kuvigeuza vikwazo hivyo kuwa fursa ya maendeleo na kujitegemea kila upande.
-
Iran: Utatuzi wa kadhia ya Palestina ni msingi wa utulivu na usalama
Aug 28, 2022 22:30Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Ali Bagheri Kani amesema utatuzi wa kadhia ya Palestina ndio msingi wa kuanzishwa utulivu na usalama Asia Magharibi (Mashariki ya Kati), na kueleza kwamba mpango wowote unaopuuza haki za taifa la Palestina husababisha kukosekana utulivu na kuvuruga usalama wa eneo hilo.
-
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yasikitishwa na machafuko mapya ya Libya
Aug 28, 2022 06:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran ameelezea kusikitishwa sana na machafuko mapya ya nchini Libya na ametaka kukomeshwa mara moja mapigano hayo. Amesema, Tehran inazitaka pande hasimu kuzingatia maslahi ya taifa, usalama wa wananchi na kutatua mambo yao kwa njia ya mazungumzo.
-
Iran yatangaza utayari wa kuwasaidia waathirika wa mafuriko Pakistan
Aug 28, 2022 03:18Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran iko tayari kutoa msaada wa aina yoyote kwa watu walioathiriwa na mafuriko katika nchi ndugu na jirani ya Pakistan.