-
Mshauri wa Rais wa Iran: Magaidi wa ISIS wametokana na fikra za Kimarekani
Jul 03, 2022 23:34Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kaumu na waliowachache kidini amesema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh limetokana na fikra za Kimarekani.
-
Daktari Muirani atunukiwa tuzo ya juu ya kielimu ya daktari bingwa wa mfumo wa mkojo duniani
Jul 03, 2022 23:12Profesa Nasser Simforoosh wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba cha Shahid Beheshti cha Iran ameshinda tuzo ya kielimu ya juu ambayo hutolewa kwa madaktari bora duniani katika fani ya mfumo wa mkojo (Urorogist).
-
Iran yakamilisha oparesheni ya kuwatuma waumini kwenda Hija
Jul 03, 2022 04:54Mkuu wa oparesheni ya kuwabeba Wairani wanaoenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu amesema oparesheni hiyo inakamilika usiku wa leo.
-
Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu jinai za Marekani
Jul 03, 2022 04:44Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa ujumbe wa Twitter kwa mnasaba wa kukumbuka jinai ya meli ya kivita ya Marekani iliyotungua ndege ya abiria ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ghuba ya Uajemi.
-
Jenerali Baqeri: Iran inafuatilia nyendo zote za maadui mipakani
Jul 03, 2022 03:29Kamanda Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza usalama imara na thabiti katika mipaka ya magharibi ya nchi hii na kusisitiza kuwa, Iran inafuatilia kwa jicho la karibu nyendo na harakati za kutilia shaka za maadui muda wote.
-
Abdollahian: Palestina ndio kadhia muhimu zaidi kwa umma wa Kiislamu
Jul 03, 2022 00:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema ukombozi wa taifa la Palestina ndio kadhia muhimu zaidi kwa umma wa Kiislamu hivi sasa.
-
Gharibabadi: Nchi zilizohusika na jinai ya mabomu ya kemikali Sardasht ziwajibishwe
Jul 02, 2022 23:49Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria jinai za Marekani katika kuunga mkono utawala ulioangushwa wa Saddam wakati wa vita vyake vya kulazimishwa dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa: "Nchi zote zilizohusika kwa njia moja au nyingine katika udondoshaji mabomu huko Sardasht zinapaswa kuwajibishwa."
-
Iran: Tunapinga hatua yoyote ya kijeshi inayochukuliwa kwa kisingizio chochote kile
Jul 02, 2022 07:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "sisi tunauelewa wasiwasi ilionao nchi jirani yetu Uturuki na tunapinga vikali hatua yoyote ya kijeshi inayochukuliwa kwa kisingizio chochote kile".
-
Mabadilishano ya kibiashara baina ya Iran na Tanzania yameongezeka kwa 120%
Jul 02, 2022 07:19Balozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania amesema, mabadilishano ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili katika mwaka uliopita yaliongezeka kwa asilimia 120.
-
Matetemeko ya ardhi yaua watu 5 kusini mwa Iran, makumi wajeruhiwa
Jul 02, 2022 03:43Matetemeko kadhaa ya ardhi yaliyotokea kwa kufuatana katika mkoa wa Hormozgan huko kusini mwa Iran yakiwa na zaidi ya daraja 6 kwa kipimo cha Richter yamesababisha vifo vya watu 5 na kujeruhi wengine 39.