-
Iran: Ushirikiano wa kieneo ndiyo siri ya mabadiliko chanya katika ukanda mzima
May 29, 2022 10:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Bahari Nyeusi (BSEC) kuwa, kutekelezwa vipengee vya ukanda wa kibiashara wa Ghuba ya Uajemi na Bahari Nyeusi ndiyo siri ya mabadiliko chanya kwenye eneo hili.
-
Iran yazindua kituo cha chini ya ardhi cha ndege za kivita zisizo na rubani
May 28, 2022 23:25Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua kituo kipya cha siri kilicho chini ya ardhi chenye idadi kubwa ya ndege za kisasa za kivita zisizo na rubani.
-
Umoja wa Waislamu utapelekea kuundwa umma wa Kiislamu wenye nguvu
May 28, 2022 05:53Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema umoja wa Waislamu utapelekea kuibuka umma wa Kiislamu wenye nguvu za kukabiliana na madola makubwa ya kibebberu na kiistikbari.
-
Rais wa Iran atuma salamu za pongezi kwa mnasaba wa Siku ya Taifa la Ethiopia
May 28, 2022 05:43Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe wa kheri na fanaka kwa serikali na watu wa Ethiopia kwa mnasaba wa kuwadia siku ya kitaifa ya nchi hiyo.
-
IRGC: Meli mbili za mafuta za Ugiriki zimekamatwa katika maji ya Ghuba ya Uajemi kwa kukiuka taratibu
May 27, 2022 22:45Idara Kuu ya Mahusiano ya Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imetangaza kuwa meli mbili za mafuta za Ugiriki zimekamatwa katika maji ya Ghuba ya Uajemi kwa sababu ya kukiuka taratibu.
-
Shamkhani: Iran na Russia zishirikiane kukabiliana na Marekani
May 27, 2022 22:13Afisa wa ngazi ya juu wa usalama wa Iran amekosoa vikwazo vya Marekani dhidi ya Russia kuhusu mgogoro wa Ukraine, akitoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuungana na kusimama dhidi ya sera za upande mmoja za Washington.
-
Hujjatul Islam Kazem Seddiqi : Muqawama wa Lebanon ulivunja pembe ya Wamarekani
May 27, 2022 06:40Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ametoa pongezi kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 22 ya ushindi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon dhidi Wazayuni na kusema, Wazayuni walionja ladha chungu ya kwanza ya kushindwa baada ya kuondoka kwa madhila huko kusini mwa Lebanon.
-
Shamkhani: Dunia iungane kupambana na ubeberu wa Marekani kwa pande zote
May 27, 2022 02:29Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, dunia inapaswa kuungana katika kupambana na siasa za kibeberu za Marekani za kujikumbizia kila kitu upande wake.
-
Kiongozi Muadhamu atoa mkono wa pole kufuatia ajali ya kuporomoka jengo Abadan
May 26, 2022 22:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, ametoa salamu za rambirambi kufuatia ajali ya kuporomoka jengo la ghorofa katika mji wa Abadan, makao makuu wa mkoa wa Khuzestan wa kusini magharibi mwa Iran.
-
Iran yakosoa mitazamo ya upande mmoja na taathira zake hasi kwa utulivu wa eneo na usalama wa kimataifa
May 26, 2022 21:53Awamu ya tatu ya mazungumzo ya kisiasa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Italia ilifanyika siku ya Jumanne mjini Tehran, chini ya uenyekiti wa Ali Bagheri, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia masuala ya kisiasa na Ettore Plato, Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Italia.