-
Polisi ya Ujerumani yamweka kizuizini mratibu wa EU katika mazungumzo ya nyuklia akitokea Iran
May 14, 2022 00:14Polisi ya Ujerumani jana ilimkamata na kumweka kizuizini kwa muda Enrique Mora, mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Umoja wa Ulaya anayehusika na uratibu wa mazungumzo ya nyuklia ya Vienna wakati anaelekea Brussels akitokea Iran.
-
Ayatullah Khatami: Safari ya Rais Bashar al-Assad nchini Iran ilikuwa ya kimkakati
May 13, 2022 06:46Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, safari ya hivi karibuni ya Rais Bashar al-Assad wa Syria nchini Iran ilikuwa ya kimkakati.
-
Safari ya Amir wa Qatar nchini Iran; ukurasa mpya katika uhusiano wa nchi mbili
May 13, 2022 06:27Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani, Amir wa Qatar aliwasili mjini Tehran siku ya Alhamisi kwa ziara rasmi ambapo amekutana na kuzungumza na mwenyeji wake Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Wanafunzi Tehran walaani mauaji ya mwandishi habari Mpalestina Abu Akleh
May 13, 2022 03:25Wanafunzi wa vyuo vikuu katika mji mkuu wa Iran, Tehran wameandamana nje ya Ubalozi wa Palestina na kuulaani utawala haramu wa Israel kwa kumuua kinyama mwandishi habari Mpalestina wa Televisheni ya Al Jazeera Shireen Abu Akleh.
-
Kiongozi Muadhamu: Inatarajiwa ulimwengu wa Kiarabu utaingia medani ya kisiasa kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni
May 12, 2022 23:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema dhulma ya miongo kadhaa ya utawala khabithi wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina ni ukweli mchungu wa historia na pigo kwa ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu na kuongeza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inataraji kwamba ulimwengu wa Kiarabu utaingia wazi wazi katika medani ya kisiasa kukabiliana na jinai hizo.
-
Rais wa Iran: Uingiliaji wa aina yoyote wa kigeni una madhara kwa usalama
May 12, 2022 09:15Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uingiliaji wa madola ya kigeni katika eneo la Asia Magharibi ni jambo lenye madhara kwa usalama wa eneo hili.
-
Kamalvandi: Ushirikano wa Iran na wakala wa IAEA unaendelea
May 12, 2022 03:24Msemaji wa Shirka la Nishati ya Nyuklia la Iran amezungumzia juu ya kuendelea ushirikiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Khatibzadeh: Utawala wa Kizayuni wa Israel unaogopa kutangazwa habari sahihi na za kweli
May 11, 2022 21:51Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali jinai ya utawala haramu wa Israel ya kumuua kwa kupiga risasi Shirin Nasri Abu Aqleh mwandishi habari Mpalestina wa Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuna haja ya kulea kizazi chenye utambulisho wa kitaifa kwa ajili ya ustaarabu wa Kiislamu
May 11, 2022 09:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Wizara ya Mafunzo na Malezi ni mlezi na muandaji wa kizazi chenye kujenga ustaarabu.
-
Jeshi la Iran la IRGC lashambulia ngome za magaidi Kurdistan, Iraq
May 11, 2022 08:57Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limelenga na kuharibu ngome za magaidi waliokuwa katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan, kaskazini mwa Iraq.