-
Wizara ya Mambo ya Nje: Usafirishaji wa bidhaa za Iran Afrika umeongezeka kwa 120%
May 10, 2022 22:11Mkuu wa Idara ya Magharibi na Katikati mwa Afrika ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, usafirishaji wa bidhaa kuelekea nchi za bara la Afrika umeongezeka kwa asilimia 120.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya jeshi la Misri
May 10, 2022 03:23Saeed Khatibzadeh, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hujuma ya hivi karibuni ya kigaidi dhidi ya Jeshi la Misri katika Jangwa la Sinai ambapo wanajeshi kadhaa wameuawa na wengine kujeruhiwa.
-
Mkurugenzi Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu: Iran inaamiliana kwa ukarimu na wahajiri
May 09, 2022 23:52Mkurugenzi Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Shirika la Msalaba Mwekundu (ICRC) amesema kuwa kwa mtazamo wa jamii ya kimataifa Iran ni mwenyeji mzuri wa wakimbizi wa Kiafghani na inaamiliana nao kwa ukarimu.
-
Kiongozi Muadhamu: Wafanyakazi wako mstari wa mbele kukabiliana na adui
May 09, 2022 06:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema wafanyakazi ni nguzo kuu katika hema la uzalishaji bidhaa na kuongeza kuwa: "Wafanykazi wako katika mstari wa mbele kukabiliana na adui."
-
Mkutano wa Rais wa Syria na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
May 09, 2022 05:06Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, muqawama na kusimama imara wananchi na serikali ya Syria na ushindi waliopata katika vita vya kimataifa, vimeandaa mazingira ya kuongezeka itibari na heshima ya nchi hiyo; na akatilia mkazo kustawishwa uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Syria.
-
Rais wa Iran: Mustakabali wa eneo hili utaamuliwa na wanamapambano, sio meza ya mazungumzo
May 08, 2022 22:43Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kitakachoamua mustakabali wa eneo la Asia Magharibi na Palestina sio meza za mazungumzo na makubaliano kama yale ya "Oslo", "Camp David" na" Muamala wa Karne", bali muqawama na mapambano ya mataifa ndiyo yatakayoamua na kupanga utaratibu mpya wa kanda hiyo.
-
Abdollahian: Iran inapinga vita vya Ukraine na eneo lolote duniani
May 08, 2022 21:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna wajibu wa kufanyika mazungumzo ya kisiasa baina ya Ukraine na Russia kwa ajili ya kukomesha haraka vita huko Ukraine kwani vita si kwa manufaa ya upande wowote.
-
Kiongozi Muadhamu: Syria imeibuka mshindi katika vita vikubwa vya kimataifa
May 08, 2022 09:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kusimama kidete taifa na serikali ya Syria na kuibuka mshindi katika vita vikubwa vya kimataifa kumeandaa mazingira ya kupata hadhi na kuheshimika zaidi nchi hiyo duniani.
-
Amir-Abdollahian: Sera mbovu za Marekani ndizo zilizosababisha hali ya sasa katika mazungumzo ya Vienna
May 06, 2022 22:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, sera mbovu ya Marekani ya mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Iran ndio iliyosababisha hali ya sasa katika mazungumzo ya Vienna.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Wazayuni sasa wanazingirwa na kambi ya muqawama
May 06, 2022 08:02Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema, adui Mzayuni amezingirwa na wanamapambano wa Kiislamu.