-
Kamanda Salami: Chuki za Marekani kwa SEPAH hazina mwisho
May 06, 2022 03:11Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, chuki na uadui wa Marekani kwa jeshi hilo la Iran hauna mwisho na hakuna siku utamalizika.
-
Iran kupeleka mahujaji karibu 40,000 katika msimu wa Hija mwaka huu
May 06, 2022 03:09Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kislamu katika masuala ya Hija na Ziara amesema kuwa, mwaka huu karibu raia 40,000 wa Iran watakwenda kutekeleza ibada tukufu ya Hija.
-
Jitihada za Iran na Uturuki kwa ajili ya kuitisha mkutano wa Baraza Kuu la Ushirikiano wa Kistratejia
May 06, 2022 03:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na mwenzake wa Uturuki wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu kuhusu uhusiano wa pande mbili sambamba na kujadili masuala mbalimbali ya kikanada na kimataifa.
-
"Wananchi wa Palestina wako tayari kuuhami kikamilifu Msikiti wa al Aqsa"
May 05, 2022 22:05Sekretarieti ya Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga mkono Intifadha ya Palestina katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) imetoa taarifa na kulaani uvamizi wa Wazayuni katika Msikiti Mtukufu wa al Aqsa na kusisitiza kuwa, makundi ya muqawama na wananchi wa Palestina wako tayari kuulinda Msikiti wa al Aqsa na kuzikomboa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina.
-
Iran UN ikabiliane na vikwazo na hujuma dhidi ya Uislamu huko Magharibi
May 05, 2022 02:49Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amevitaja vikwazo na hujuma dhidi ya Uislamu (Islamophobia) katika nchi za Magharibi kuwa ni kinyume na kanuni, sheria za kimataifa, sheria ya kibinadamu na Hati ya Umoja wa Mataifa, na ametoa wito kwa idara ya Mawasiliano ya Kimataifa ya umoja huo kuendeleza juhudi za kukabiliana na athari mbaya za vikwazo vya upande mmoja kwa nchi zilizoathiriwa na vikwazo.
-
Marais wa Iran na Indonesia wasisitiza kupanua uhusiano katika nyanja mbalimbali
May 04, 2022 22:14Marais wa Iran na Indonesia wamefanya mazungumzo ya simu wakijadili uwezo wa nchi hizo mbili katika nyanja mbalimbali na kusisitiza ulazima wa kufanyika juhudi za pamoja za kuboresha kiwango cha ushirikiano wa pande mbili.
-
Iran: Tuko tayari kuipa Afghanistan teknolojia ya kupambana na ukame
May 04, 2022 07:21Mjumbe wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya Afghanistan amesema kuwa, Tehran iko tayari kuipa Kabul teknolojia ya kupambana na ukame na vumbi linalofunika anga za maeneo mmbalimbali ya Afghanistan.
-
Iran yakosoa mahakama ya kimaonyesho na isiyo ya uadilifu katika kesi ya Hamid Nouri nchini Sweden
May 04, 2022 04:00Kazem Gharibabadi Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran amekosoa kesi dhidi ya afisa wa zamani wa Iran ambaye anatuhumiwa Sweden kuwa eti amekiuka haki za binadamu na kuitaja kesi hiyo kuwa iliyo kinyume cha sheria na isiyo na uadilifu.
-
Raisi: Uhusiano wa Iran na Kuwait unarejea katika hali yake ya kawaida
May 04, 2022 03:47Rais wa Iran ameutaja msimamo imara wa Kuwait mkabala wa njama mbalimbali katika eneo la Magharibi mwa Asia kuwa makini; na huku akikumbushia uhusiano mzuri kati ya Iran na Kuwait huko nyuma, amesisitiza kuwa, uhusiano wa pande hizo mbili zikiwa nchi mbili marafiki wa muda mrefu, unapasa kurejea katika uwezo wake halisi.
-
Amir-Abdollahian: Mazungumzo ya Vienna hayajasitishwa
May 03, 2022 05:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa mazungumzo ya nyuklia ya Vienna hayajakwama.