-
Iran ni miongoni mwa nchi tano bora katika teknolojia ya nano duniani
May 03, 2022 05:45Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetajwa kuwa miongoni mwa nchi tano zinazoongoza duniani katika uga wa teknolojia ya nano.
-
Ayatullah Siddiqi: Maandamano ya Siku ya Quds yameonyesha kuwa kadhia ya Palestina ingali hai
May 03, 2022 03:29Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema katika hotuba zake kwenye Swala ya Eidul-Fitri leo hapa mjini Tehran kwamba, maandamano ya Sikuu ya Kimataifa ya Quds yameonyesha kuwa, malengo matukufu ya taifa madhulumu la Palestina yangali hai.
-
Kuongezeka miamala ya kibiashara kati ya Iran na wanachama wa Jumuiya ya Shanghai
May 03, 2022 00:16Ushirikiano wa Iran na nchi za ukanda huu ambao ni katika siasa kuu za Jamhuri ya Kiislamu hasa katika serikali ya hivi sasa, umezaa matunda mengi mazuri yakiwemo ya kuongezeka mabadilishano ya kibiashara baina ya Tehran na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai.
-
Maelfu wahudhuria Swala ya Idi miji mbalimbali ya Iran, Rais Ebrahim Raisi awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu
May 03, 2022 00:15Maelfu ya Waislamu wa Iran leo wameshiriki katika Swala ya Eidul-Fitri baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani huku Rais Ebrahim Raeisi akituma salamu za mkono wa idi kwa viongozi wa nchi za Kiislamu.
-
Rais wa Iran asisitiza udharura wa kukabiliana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
May 03, 2022 00:14Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja matukio ya karibuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina kuwa yasiyokubalika na kueleza kuwa: Kuna ulazima wa kufanyika juhudi za kusitisha mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina kupitia msaada wa nchi za Kiislamu na jitihada za kimataifa.
-
Iran: Marekani ndio iliyokwamisha mchakato wa mazungumzo ya Vienna Austria
May 02, 2022 06:19Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran ameashiria mazungumzo ya nyuklia ya Vienna Austria na kusema kuwa, hati ya makubaliano hayo ipo tayari kwa ajili ya kusainiwa, lakini Marekani ndiyo iliyokwamisha mchakato huo.
-
Salamu za Eid al-Fitr za Sultan wa Oman na Amir wa Qatar kwa Rais na taifa la Iran
May 02, 2022 03:00Sultan Haitham bin Tariq al Said wa Oman na Amir Tamim bin Hamad Aal Thani wa Qata wamemtumia Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu, serikali na taifa la Iran salamu za pongezi na fanaka kwa mnasaba wa kuwadia Sikukuu ya Eid al-Fitr.
-
Balozi wa Uswidi nchini Iran aitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje
May 02, 2022 02:15Kufuatia kuendelea kuzuiliwa kisiasa na kinyume cha sheria Hamid Nouri, raia wa Iran huko mjini Stockholm, Uswidi, balozi wa nchi hiyo mjini Tehran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran na kuelezewa malalamiko ya Tehran kuhusu suala hilo.
-
SEPAH: Madola ya kigeni ndilo tishio la usalama wa Asia Magharibi
May 01, 2022 06:51Kamanda wa Kikosi cha Majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesisitiza kuwa madola ya kigeni yaliyojizatiti na majeshi yao kwenye eneo hili, ndilo tishio kwa usalama wa Asia Magharibi.
-
Qalibaf: Kuunda serikali jumuishi ni muhimu ili kuhakikisha usalama wa Afghanistan
May 01, 2022 03:39Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa kuasisi serikali shirikishi ni jambo lenye umuhimu kwa ajili ya kuhakikisha usalama endelevu nchini Afghanistan.